shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ni footballIle ni football au volleyball?
![]()
![]()
![]()
Ni footballIle ni football au volleyball?
![]()
![]()
![]()
Kabithaaaaaa[/QUOTE]Refa ndio mwenye uamuzi wa mwisho au sio??
Kwa hisani ya mkono wa dhahabu nawatakia jumapili njema na yenye utulivu wa hali ya juu
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Uvumilivu ni kitu muhimu sanaHaikuwa offside kwani kuna mtu kabisha?
Na Tambwe alishika kabla ya kuweka chini mpira na kutupia
Mbona mambo hayo hutokea ht Ulaya juzijuzi Manchester Derby mwamuzi kakausha penalty mbili na Man Utd kupigwa 2:1 tena old Trafford
Nani aling'oa viti?
.........
Mkwepa kodi morningMoningi Makapuku wote
Mkono wa Mungu? Mungu yupi? acheni kumhusisha Mungu na vitu vya kijinga!!!View attachment 410676View attachment 410677View attachment 410678
Refa ndio mwenye uamuzi wa mwisho au sio??
Kwa hisani ya mkono wa dhahabu nawatakia jumapili njema na yenye utulivu wa hali ya juu
Niite Jimena Jimenes
Ciao
ndio maana kaharibu mambo yenu kuoana uwanjaniRefe kaharibu kabisa mchezo
Simba tulikuwa tunamuoa yanga
Hawajui kama hupendi ujingaMkono wa Mungu? Mungu yupi? acheni kumhusisha Mungu na vitu vya kijinga!!!
Thanks for newspaperz JJ
mi mwenyewe nashangaa mkono wa tambwe wanasema wa munguMkono wa Mungu? Mungu yupi? acheni kumhusisha Mungu na vitu vya kijinga!!!
Thanks for newspaperz JJ
Asante Kapuku kwa magazetiView attachment 410676View attachment 410677View attachment 410678
Refa ndio mwenye uamuzi wa mwisho au sio??
Kwa hisani ya mkono wa dhahabu nawatakia jumapili njema na yenye utulivu wa hali ya juu
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Moningi mukongomaniGoodmorning family
Moningi shululuMkwepa kodi morning
Shukrani uwe na Jumapili njema.View attachment 410676View attachment 410677View attachment 410678
Refa ndio mwenye uamuzi wa mwisho au sio??
Kwa hisani ya mkono wa dhahabu nawatakia jumapili njema na yenye utulivu wa hali ya juu
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Punguzeni kubebwa.Kweli muosha huoshwa,
Japo dhambi haifutwi kwa dhambi, mwaka 2002 mei 31, Madaraka Seleman anawafunga Yanga bao kama la tambwe leo, na mwamuzi Omary Abdulkadri anasema weka kati,
Rais wa zaman wa Yanga yaani Tarimba Abasi Tarimba, aliamuru timu itoke uwanjani, lkn hawakutoka, simba walishangilia wakati Yanga wanalia,
Leo zamu yao wao wanang'oa viti wakati Yanga walishangilia, najua wengi mtakuwa mmesahau!
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahaha, kuoa kuna raha yake mkuundio maana kaharibu mambo yenu kuoana uwanjani
SijaonaMbona jana nilikuPM kuhusu mchongo hukuona?
![]()
![]()
![]()
..,...
mkaoane wenyewe,mlitupiga tano kimagumashi leo mnalalamikaHahahaha, kuoa kuna raha yake mkuu