Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia:
Ni siku ya Uhuru wa Guinea.
Walipata Uhuru wao toka kwa Ufaransa.
Leo katika Historia:
Ni siku ya Uhuru wa Guinea.
Walipata Uhuru wao toka kwa Ufaransa.
2015 - Eric Arturo Delvalle anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa Panama.
Hizi ni jazba ambazo zipo kwa mashabiki wengi duniani.Haikuwa offside kwani kuna mtu kabisha?
Na Tambwe alishika kabla ya kuweka chini mpira na kutupia
Mbona mambo hayo hutokea ht Ulaya juzijuzi Manchester Derby mwamuzi kakausha penalty mbili na Man Utd kupigwa 2:1 tena old Trafford
Nani aling'oa viti?
.........
2015 - Rodolfo Frigeri anafariki.
Alikuwa ni waziri wa Fedha huko Argentina.
Vizee kweli aisee
1919 - Rais Woodrow Wilson wa Marekani anapararaizi mwili wake baadae ya kupata stroke.
Ni mchezaji ambaye huonekana wakati wa matukio uwanjani1991 - Roberto Firmino anazaliwa.
Ni mwanasoka anayekipiga klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Brazil.
Bongo life expectancy lowVizee kweli aisee
Hakika Refa ndiye muamuzi hatupaswi kuingilia hiloView attachment 410676View attachment 410677View attachment 410678
Refa ndio mwenye uamuzi wa mwisho au sio??
Kwa hisani ya mkono wa dhahabu nawatakia jumapili njema na yenye utulivu wa hali ya juu
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Napenda sana majina ya Kijapani1997 - Hana Sugisaki anazaliwa.
Ni muigizaji toka nchini Japan.
Klopp anamtumia kama false 9Ni mchezaji ambaye huonekana wakati wa matukio uwanjani