shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Haaaahaaaa, hata mimi nimemnyoshea mikonoSalama
Ila best una kipaji cha kusalimia
Hongera sana
Haaaahaaaa, hata mimi nimemnyoshea mikonoSalama
Ila best una kipaji cha kusalimia
Hongera sana
mwambie TV yeyote tu ila awe na king'amuzi cha azamTV???????!!?!!?
Mzee wa buguruni naye zimepitiliza?wehu wa akili,yaan zimepitiliza kama lipumba(nimechomekea tu)
Toa jibu mkuu acha LipumbalismTV???????!!?!!?
Amtoe kabisaHuyo profesa mtoe
ndioMzee wa buguruni naye zimepitiliza?
Ndiyo hii inagongaDj Cobblepots ndio kapotea sana aisee, Old is Gold ntaileta saa nane na nusu.
Dstv vipi mkuu maana sina azammwambie TV yeyote tu ila awe na king'amuzi cha azam
Usijali sis nimeshaweka mambo sawa huku mitamboni.Sawa naisubiria kwa hamu
Kupatwa kwa SIMBAKIFO CHA SIMBA KAMA NAKIONAAA TAIFA
Na mazishi yanafanyikia wapiKIFO CHA SIMBA KAMA NAKIONAAA TAIFA
S9Toa jibu mkuu acha Lipumbalism
azam two ndo wataoneshaDstv vipi mkuu maana sina azam
Powaazam two ndo wataonesha
MSIMBAZI STREETNa mazishi yanafanyikia wapi
Kumbe na nyie mmemuona ila mnakausha tu. Hiyo ni kama salamu ya tatu toka siku ianze. Sijui zitafika ngapi mpaka ufike jioniHaaaahaaaa, hata mimi nimemnyoshea mikono
Thanks