Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu humu unaonekana Simba upo peke yako ni bora utoke haraka wasije kukutoa ngeu hahahahaha
Pekee yake kivipi, wakati mm nipo hapa!

Nmegundua hapa tuko mashabiki wa Simba wawili tu.

Ila nawaapia, hakiyanani TUKISHINDA nitaleta fujo hapa kwa muda wa siku 2.
Nitasumbua vibaya sanaaaaaa


Nitatambariiiing

Nitaleta majigambo

Nitaringa

Nitasherekea kwa ukaliiii.....!
 
73b5d0a2fc7fca0cf0372ee87da528c7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom