Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
ndo madhara ya kusoma PCMHili
"Are you marry me?"
ndo madhara ya kusoma PCMHili
"Are you marry me?"
Dawa yake inachemka
Tutaona..KIAMA kipo kwenu au kwetu?we huonagi R I P man uKesho ndo mtajua nguvu ya ki-a-ma siyo ya mchezo kabisaView attachment 409811
Nmewanukuu wenyewe wanavyosemaga, ndo nkaandika hvyo kizushi.ndo madhara ya kusoma PCM
Kwenye niniDawa yake inachemka
KIAMA kipo kwenu au kwetu?we huonagi R I P man u
tutaona..Meza wembe
Babu akatuletea Edwin Van Der Sar.Hii mechi siku hiyo ilinisikitisha sana na kwanza gori lile lilikuwa uzembe wa kipa na kuanzia hapo imani ya Alex kwa kipa ilipungua sana
Embu dikteta kuja huku unisaidie.. nmezungukwa na jangwani fc.Nafikiri zama zake ikiwemo mbinu za ufundishaji zilifika mwisho.

MooooooooKesho ndo mtajua nguvu ya ki-a-ma siyo ya mchezo kabisaView attachment 409811
Ilireta mjadala sanaBabu akatuletea Edwin Van Der Sar.
Gary Neville baada ya mechi akashauri kusiwe na marudio kwa matukio kama yake kwani yatawachanganya Marefa
swadaktaaKesho ndo mtajua nguvu ya ki-a-ma siyo ya mchezo kabisaView attachment 409811
ulitaka kuwa rubani?Nmewanukuu wenyewe wanavyosemaga, ndo nkaandika hvyo kizushi.
ila mm sikusoma PCM bali nmesoma PGM
Sio rubani, mrusha panga boiulitaka kuwa rubani?
Kumbe ulisoma Pugu Girls Mademu ( PGM )Nmewanukuu wenyewe wanavyosemaga, ndo nkaandika hvyo kizushi.
ila mm sikusoma PCM bali nmesoma PGM
Unamuamini?ulitaka kuwa rubani?
Kelele za vyura hazimzuii tembo kunywa majiEmbu dikteta kuja huku unisaidie.. nmezungukwa na jangwani fc.
Wananionea kwa vile nko mwenyewe
![]()
![]()
![]()
![]()