briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nshakaribia kakaPole na karibu tena
Nshakaribia kakaPole na karibu tena
Tayari d, niko fit sasaKale kwanza dia
Health comes first
Kesho tunategemea kumliza namna hiiView attachment 409716[emoji12] [emoji12] [emoji12]
kwii kwiiiii
[emoji2] fwara kabisa wewe
[emoji30] hivi vipicha vyako vinakera sana
Hahahahaha nimecheka sana ngoja nikanywe bia hahahahaha
Hahahahaha ngoja Simba waje hahahahaha
jonax hahahahaha mchape bakora hahahahaha
lipumba
Kesho simba tunashinda hili game, tena kwa magoli mengi.jonax hahahahaha mchape bakora hahahahaha
Mimi nitajificha ili nisiwasikie mnavyotambianaKesho simba tunashinda hili game, tena kwa magoli mengi.
After ushindindi sasa:
Nitakuja kutamba hapa kama sina akili nzuri vile
[emoji2] [emoji2] [emoji106]
Labda mshinde njaakesho Yanga tunashinda tena kwa kishindo
kushinda njaa inamaana umeiangamiza so lazima tule ili tushinde njaa baadae tushinde na mechi piaLabda mshinde njaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwavile unaogopa mizingaNikuulize kitu?
Ok, tusubiri tuonekushinda njaa inamaana umeiangamiza so lazima tule ili tushinde njaa baadae tushinde na mechi pia
Usilopenda kuulizwa[emoji12] swali nnalipenda kuulizwa "umenipendea nini?"
Jibu: nmekupendea chura
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]