Ataweza?jonax hahahahaha mchape bakora hahahahaha
Mzee wa kutambaringKesho simba tunashinda hili game, tena kwa magoli mengi.
After ushindindi sasa:
Nitakuja kutamba hapa kama sina akili nzuri vile
![]()
![]()
![]()
Ngoja na kesho wafungwe tena ndo kabisa hutamwona hapaHivi mpaka leo hajaonekana? aisee

Meza wembehivi vipicha vyako vinakera sana
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio sasa kumbe vipi...kesho Yanga tunashinda tena kwa kishindo
Jeuri yenu inaisha keshoMeza wembe
Mmmh hicho kiinglish kiboko.Hili
"Are you marry me?"
Jeuri yenu inaisha kesho
mpira haudanganyi mamaa,tumepiga chenga zimepigika.
Nafikiri zama zake ikiwemo mbinu za ufundishaji zilifika mwisho.Nini kilimtoa Rijkaard Barcelona???