Acha ukware ndugu
MsambwandaMzee kagoma kuwahi kuhudumiwa
Zaid ya sana..Itakuwa ulimchanganya sana leo
Naskuru kaka..Usijali kiongozi
Mnoo kanichanganya sanaa.. Mie nishapanga leo night nakesha, yee ananitumia meseji kuwa ataenda kulala nyumban kwa mama sijui kuna nini nin sijui.. Alinivuruga, ila sasa fresh karud home..Najua wewe ndio ulimchanganya
Kuna tafsr nyingne ya red devils zaid ya mashetani wekundu au anataka kuitafsr kirusi na kichinaYule mzushi vipi alitoa tafsiri ya Red Devils?
Nilijua tu hawezi
..........
Wajinga ndio waliwao...Yule ameshazoea kiwaburuza wajinga wenzake
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni poa tuu boi
Watu weweee.... Sasa hakuna cha mpira wala nini, mipira tunawaachia wakina ngasa na samatta huko wacheze vizur, we hushangai toka lin mpira ukatumiwe chumbanView attachment 409124Wazinzi mpo?
.......
Hujaelewa runachozungumzaKuna tafsr nyingne ya red devils zaid ya mashetani wekundu au anataka kuitafsr kirusi na kichina
Ukiona sijaelewa si ueleze sasaHujaelewa runachozungumza
Fuatilia kwa makini km bado
Basi kausha
...........
Sio kila kitu lazima ueleweUkiona sijaelewa si ueleze sasa
Wapi hii, niyapandie ndege nikashuhudie vindimuWivu![]()
Wazungu hamnazo
.......