makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,953
- 104,340
Fundi alexis sanchezKwa udhamini mnono kabisa wa Sanchez tukutane kesho
Fundi alexis sanchezKwa udhamini mnono kabisa wa Sanchez tukutane kesho
R.i.p
Basi vungaSio kila kitu lazima uelewe
Mengine tunaongea kimafumbo watu wawili ambao tunajua tunachoongea
...........
Imagine umerud home unaingia chumbani mida ya saa mbil ucku ghafla unamuona nyoka kanyanyua shngo juu ana chzesha mkia na ki ulimi kinatoka toka nje kwa ujasiri unaamua kuchukua fmbo ili kumuua ...lkn ulivo jasiri zaid unaamua kufunga na mlango af funguo unatupia ktndani unajarbu kumdhuru lkn ghafla umeme unakatika
Hapo ndio unakubali Nobody can stop Reggae

Ndio, naona combination yake na Teo na Ozil imekubali vizuriFundi alexis sanchez
Mpemba huyo
Harafu tangu umerudi haonekani kabisa humu, akionekena ni 1hr tu kapoteaZaid ya sana..
Haya bibi
- Nyie makapuku, nimefika mpaka toleo namba 9 ndo nije kuwaambia nite nite?? Kweli nyie kapuku. Basi nite nite naenda kulala mie. Nawamiss sana. mmmwwwaaaa wanangu na wakwe.
Ila sipend Sanchez acheze as a last man juu..Ndio, naona combination yake na Teo na Ozil imekubali vizuri
Hamna.. Yeye tu mwenyeweHarafu tangu umerudi haonekani kabisa humu, akionekena ni 1hr tu kapotea
Umempiga mkwala ni nini
Hamna, yeye tuu mwenyeweHarafu tangu umerudi haonekani kabisa humu, akionekena ni 1hr tu kapotea
Umempiga mkwala ni nini
thank u