shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ni nani aliplan iwe hivyo?Jamani this is not a coincedence!...i think the whole thing was planned.
Ni nani aliplan iwe hivyo?Jamani this is not a coincedence!...i think the whole thing was planned.
Usijali kiongoziNiwie radhi ndugu yangu![]()
![]()
Najua wewe ndio ulimchanganyaCc: Shululu msamehe jirani yako
Ni kweliWapo, ila serikali haina kipaombele nao
Bado ni kizunguzunguNi nani aliplan iwe hivyo?
wale jamaa firimasoni,nenda kasome googleNi nani aliplan iwe hivyo?
Unamchokoza jonax...hataki kusikia habari za u firimasoniwale jamaa firimasoni,nenda kasome google
Inamaana firimason walijua atakuja kuzaliwa Kennedy awe Rais baada ya miaka mia ya Lincoln?wale jamaa firimasoni,nenda kasome google
Hadi leo mnaamini story za FreemasonInamaana firimason walijua atakuja kuzaliwa Kennedy awe Rais baada ya miaka mia ya Lincoln?
wale jamaa firimasoni,nenda kasome google
Unamchokoza jonax...hataki kusikia habari za u firimasoni
Yule mzushi vipi alitoa tafsiri ya Red Devils?
Mimi siamini, ila wanaotaka kutuaminisha sasa ndio wajibuHadi leo mnaamini story za Freemason
Mmeliwa
![]()
![]()
![]()
........
Yule ameshazoea kiwaburuza wajinga wenzakeYule mzushi vipi alitoa tafsiri ya Red Devils?
Nilijua tu hawezi
..........

Wataanzia wapi kwa mfano?Mimi siamini, ila wanaotaka kutuaminisha sasa ndio wajibu
Nenda kamkumbusha kichokoziYule ameshazoea kiwaburuza wajinga wenzake
![]()
![]()
![]()
![]()