Pamoja sanaKwa udhamini mnono kabisa wa Sanchez tukutane kesho
Duuh hatareeImagine umerud home unaingia chumbani mida ya saa mbil ucku ghafla unamuona nyoka kanyanyua shngo juu ana chzesha mkia na ki ulimi kinatoka toka nje kwa ujasiri unaamua kuchukua fmbo ili kumuua ...lkn ulivo jasiri zaid unaamua kufunga na mlango af funguo unatupia ktndani unajarbu kumdhuru lkn ghafla umeme unakatika
Hapo ndio unakubali Nobody can stop Reggae
Denge nuksi...
Patakua Patamu hapo
Zaidi ya Earthquake la WahayaMadenge ni shida
Denge nuksi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji118][emoji4][emoji117]
Watu wa mieleka bhana
[emoji118][emoji4][emoji117]
MTU ANACHUPI,,, HALAFU ANAGOMBANIA MKANDA
[emoji118][emoji4][emoji117]
wa kazi gani sasa
aahaa haa[emoji118][emoji4][emoji117]
Watu wa mieleka bhana
[emoji118][emoji4][emoji117]
MTU ANACHUPI,,, HALAFU ANAGOMBANIA MKANDA
[emoji118][emoji4][emoji117]
wa kazi gani sasa
Karibu hb wa ilalaView attachment 409322 tunavyosubiri [emoji3]