briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 29, 2016 #114,001 shululu said: Enzi zake sasa, ila Ac Milan ya wakati huo itachukua muda kupata timu kama hiyo tena Click to expand... 114k, naona ankali umetupia kimyakimya
shululu said: Enzi zake sasa, ila Ac Milan ya wakati huo itachukua muda kupata timu kama hiyo tena Click to expand... 114k, naona ankali umetupia kimyakimya
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Sep 29, 2016 #114,002 makaveli10 said: Mourinho hakuwa na mpango nae... Click to expand... Siyo sababu Ingekuwa hivyo basi angetamba alipoenda baada ya Chelsink....kiwango chake kilifikia mwisho ........
makaveli10 said: Mourinho hakuwa na mpango nae... Click to expand... Siyo sababu Ingekuwa hivyo basi angetamba alipoenda baada ya Chelsink....kiwango chake kilifikia mwisho ........
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 29, 2016 #114,003 briz said: Huku fresh tu, vp huko naskia kuna kimvua flani kilipita? Click to expand... Kwema, kimvua kilikuwa Jana asubuhi na usiku, Leo ni mawingu tu
briz said: Huku fresh tu, vp huko naskia kuna kimvua flani kilipita? Click to expand... Kwema, kimvua kilikuwa Jana asubuhi na usiku, Leo ni mawingu tu
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Sep 29, 2016 #114,004 makaveli10 said: Ndio chama pekee nililokuwa formation yake siielew, haiko kwenye mpangilio, uwanja mzima watu wanazunguruka.. Then katika list ya formation zote dunian hii haikuwepo.. Kocha alikuwa anawapa position tuu Click to expand... Kocha alikuwa nani? ........
makaveli10 said: Ndio chama pekee nililokuwa formation yake siielew, haiko kwenye mpangilio, uwanja mzima watu wanazunguruka.. Then katika list ya formation zote dunian hii haikuwepo.. Kocha alikuwa anawapa position tuu Click to expand... Kocha alikuwa nani? ........
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 29, 2016 #114,005 The Book said: inapangwa tena kiuchawi Click to expand... Umebadili avatar tena
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Sep 29, 2016 #114,006 MKWEPA KODI said: Umebadili avatar tena Click to expand... hii mbaya au
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,511 Sep 29, 2016 #114,007 Bitoz said: Alikuwa moto ...... Click to expand...
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,511 Sep 29, 2016 #114,008 shululu said: Asante, hata sijajua mpaka nimerudi kuangalia Click to expand... Utamu ukinoga watu wanasonga mbele tuu
shululu said: Asante, hata sijajua mpaka nimerudi kuangalia Click to expand... Utamu ukinoga watu wanasonga mbele tuu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 29, 2016 #114,009 makaveli10 said: Utamu ukinoga watu wanasonga mbele tuu Click to expand... Ni kweli aisee
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,511 Sep 29, 2016 #114,010 briz said: Hawa kwa kutengeneza tu record si ajabu ukakuta imepangwa kabisa, kwema lakini home boi? Click to expand... Kwema tu hommie.. Vip pande hizo!?
briz said: Hawa kwa kutengeneza tu record si ajabu ukakuta imepangwa kabisa, kwema lakini home boi? Click to expand... Kwema tu hommie.. Vip pande hizo!?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,511 Sep 29, 2016 #114,011 Bitoz said: Siyo sababu Ingekuwa hivyo basi angetamba alipoenda baada ya Chelsink....kiwango chake kilifikia mwisho ........ Click to expand... Aliathirika kuanzia pale chelsea
Bitoz said: Siyo sababu Ingekuwa hivyo basi angetamba alipoenda baada ya Chelsink....kiwango chake kilifikia mwisho ........ Click to expand... Aliathirika kuanzia pale chelsea
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,511 Sep 29, 2016 #114,012 Bitoz said: Kocha alikuwa nani? ........ Click to expand... Carlo ancelloti
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,511 Sep 29, 2016 #114,013 briz said: Hawa kwa kutengeneza tu record si ajabu ukakuta imepangwa kabisa, kwema lakini home boi? Click to expand... Hawa watu kwenye kiunda matukio hawajambo..
briz said: Hawa kwa kutengeneza tu record si ajabu ukakuta imepangwa kabisa, kwema lakini home boi? Click to expand... Hawa watu kwenye kiunda matukio hawajambo..
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,511 Sep 29, 2016 #114,014 shululu said: Ni kweli aisee Click to expand... Usijisahau ukapitiliza na nyumbani swahiba.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 29, 2016 #114,015 The Book said: hii mbaya au Click to expand... Ni nzuri
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Sep 29, 2016 #114,016 makaveli10 said: Usijisahau ukapitiliza na nyumbani mpenz Click to expand... kumbe huyo wa kike?
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 29, 2016 #114,017 The Book said: kumbe huyo wa kike? Click to expand... Usimsikilize makaveli
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,269 Sep 29, 2016 #114,018 Habarini family
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Sep 29, 2016 #114,019 shululu said: Usimsikilize makaveli Click to expand... okeee,lakini we wa kiume??
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Sep 29, 2016 #114,020 QUIGLEY said: Habarini family Click to expand... pooooooooooa