Nyerere alisaidia nchi nyingi za kiafrica, hasa pesa, South Africa, Zimbabwe, Zambia, Namibia, Uganda walipata msaada wa kipesa mkubwa sana,
Sasa pesa hizo kipindi hicho angeamua kuwekeza kwenye Elimu tusingekuwa na watu wasiojua kusoma na kuandika
Vita vya Kagera huwa vinatumiwa tu ili tuamini kuwa vita ni Vibaya