Sifahamu, but I guess itakuwa top 10Tanzania niya ngapi?
Hahahahaha
Iko byyee..Ako powa wewe???
Ni kweli, ila kwa miaka 18 baada ya uhuru nchi ilikuwa na uchumi mzuri sana sanaSifahamu, but I guess itakuwa top 10
Mpuuz sana yule mtu..Watamfukuza tu hakuna namna
Kulitokea wizi mkubwa sana wa Pesa katika benki ya Vatican.Itakua tu alinyamazishwa mana roma nako kuna kaumafia
Hhhmmm... Nyangema hiloo...Punguza kuquote
Mtu mmoja unamquote post zake 10 mfululizo bila sababu ya msingi au kuwa na point
Sasa unategemea nani atazijibu?
Kuwa mjanja siyo hadi mtu akushtue......ndio maana hawakureply halafu useme wanaringa
Kiungwana tu
...................
Sjui why nakukubali sana makavel10Tuko fiti kalikiti...
Mwaka 1953 nchi za bara la Asia kama China,, Thailand na Philippines tulikuwa tumelingana nao kiuchumi.Ni kweli, ila kwa miaka 18 baada ya uhuru nchi ilikuwa na uchumi mzuri sana sana
Na yule mhasibu Robart kavi alikuwa anahusika nafikiri, maana yeye walimuua akiwa London, maana alitoroka kwa siri kutoka Italy mpaka UingerezaKulitokea wizi mkubwa sana wa Pesa katika benki ya Vatican.
Huyu lipumba sijui uprof wake ndio umemaliza na akili.. Ni lipumba kweli kweli.. Pumba tupu kichwa yake... Aliyemuita lipumba anastahiki tunzo
Anawakosesha rahaMpuuz sana yule mtu..
Hahaa... Kimboto kimemchanganya!! Chezea miuno ya paka chongo..Dem Wang ameamua tuachane kasema kila alicho nipa nimrudixhie na kila nilichompa anirudixhie anaringa anajua sijawahi hata kumpa pipi kijiti sasa nimemwita geto aje anipe kiss zangu zote na denda zangu nilizo mpaa amelala mpaka asubuh eti anasema zilikua hasirasitaki ujinga mm
Mwaka 1953 nchi za bara la Asia kama China,, Thailand na Philippines tulikuwa tumelingana nao kiuchumi.
Ila ona sasa walivyotuacha mbali
MiaIko byyee..
Nenda tu.. Haina maana utakuwa kama yeyey.. Kinachomsumbua huyu ni jina la lipu"mba hope, huna jina uchwara kama hiloProfesa anaenikatisha tamaa ya kuendelea na shule
Si kweli.SWALI: Nasikia mbu ana matiti ni kweli?
.........
Maendeleo kitambo..1951 - Kituo cha matangazo ya luninga cha CBS chatengeneza luninga za kwanza za rangi na kuziuza huko Marekani
Ukizingatia jina lake nila kiratinoNenda tu.. Haina maana utakuwa kama yeyey.. Kinachomsumbua huyu ni jina la lipu"mba hope, huna jina uchwara kama hilo