Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
nasikia amelala ofisiniAmechanganyikiwa huyo
nasikia amelala ofisiniAmechanganyikiwa huyo
Ndio lishamuathiri hilo.. Kaiashakuwa pumba, itamchukua miaka mingi kuja bichwa kusafishika..umefika muda abatizwe tena
Huyu lipumba sijui uprof wake ndio umemaliza na akili.. Ni lipumba kweli kweli.. Pumba tupu kichwa yake... Aliyemuita lipumba anastahiki tunzo
au katumwa na Jamaa Peleka Morogoro
Katumwa na Chama Cha Mashauzi (CCM)..Kahongwa huyo aivuruge CIF + UKAWAau katumwa na Jamaa Peleka Morogoro
Muone sasa sijui anachungulia nini..
Km "wenyewe" wanakujaMuone sasa sijui anachungulia nini..
Hawa makocha wengine sijui wana akili gani..![]()
CONTEna timu imemshinda anabahatishabahatisha tu
Anawapanga Ugolo Kante na Nemanja Mateke kwa pamoja
![]()
![]()
![]()
.....
Km kwenye EURO alikuwa bingwa wa kupaki basi..Hawa makocha wengine sijui wana akili gani..
Tatzo la conte lipo on tactics.. Yeye ni defending minded.. Anawaza kuzuia tuu..
Lipumbavu hilo hahahahahaHuyu lipumba sijui uprof wake ndio umemaliza na akili.. Ni lipumba kweli kweli.. Pumba tupu kichwa yake... Aliyemuita lipumba anastahiki tunzo
morningMoningi Makapuku wooote
Pumba za Mpunga hahahahahaunajua majina yanawapa watu tabu,LI-PUMBA
Pesa mbaya sana imemtoa akiliKweli... Ndio inaleta upuuz wote huu
Kwa moto hahahahahaumefika muda abatizwe tena
kwa tindikali hahaaaKwa moto hahahahaha
Na bado tutaona vituko vingi ccm wamemtoa akilinasikia amelala ofisini