Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20160927_203124.jpeg
 
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie, alafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk...
Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi gari..??
Na wewe ulivyochanganyikiwa unamjibu umeme umekatika mzee..


Hapo ndo utajua nobody can stop Reggae
Hahahaha, Haya ni mawazo yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom