"Alifunga Mkuu"...Alifunga au alikosa hebu kamilisha habari
Hahahahaha mama yangu anapenda ujana hahahahahaMi simtambui kabisa
...loadingMfano kukiwa na group ya whatsap juu ya [HASHTAG]#Makpuku[/HASHTAG] Forum haiwez kuwa poa pia?
Huyu naye sijui katokea wapiMfano kukiwa na group ya whatsap juu ya [HASHTAG]#Makpuku[/HASHTAG] Forum haiwez kuwa poa pia?
Huyu naye sijui katokea wapi
Lakini sio salamaViporo vitamu mkuu
sasa tukiwa na group huko huku tunamuachia nani?Huyu naye sijui katokea wapi
Kwani hapa HAPATOSHI KUCHAT?Mfano kukiwa na group ya whatsap juu ya [HASHTAG]#Makpuku[/HASHTAG] Forum haiwez kuwa poa pia?
Ngedere,FaizerFix & Kichumvisasa tukiwa na group huko huku tunamuachia nani?
Kusoma
*Magazeti
*historia
*Update za mpira
*Vichekesho
*Swaga
*Nukuu n.k
Halafu wanazuga kutuponda
Dawa yao tusiwe tunawajibu ndo itawauma
HATERS GONNA HATE
.......................
Sasa mbona hatukujui???Labda mliwahi kunizaa
Hii kweli mpyaUsiyoyajua kuhusu Mpira wa Miguu!!
- Mwanasoka wa brazil,"Pele" alipewa jina hilo la utani lenye maana ya "miguu sita" kwa kuwa alikuwa na vidole sita miguuni.
- Mnamo mwaka 1964 simu aliyopokea refa uwanjani huko nchini peru ilisababisha vifo vya watu 300 kutokana na vurugu.
- Katika kombe la dunia mwaka 1950 timu ya taifa ya india ilitaka kucheza peku lakini FIFA wakagoma,timu hiyo ilisusia mashindano.
The Book,kwa msaada wa mtandao.
- Pele alipokwenda nigeria kucheza soka katika mechi ya ngao ya hisani,pande 2 zilizokuwa zinapigana vita zilikubaliana kusitisha vita hiyo kwa masaa 48.
MarhabaaaShikamooni family...nnawamissi sana
Mbona mimi nawajua hahahahahaSasa mbona hatukujui???
Morning gani saa hizi??Moningi Kapuku mpita njia
Edson Arantes Dos Nascimento "Pele "
Vipi alipata?PENATI YA KWANZA KATIKA SOKA
Penati ya kwanza kupigwa katika historia ya soka duniani ilikuwa ni tarehe 14 sep. mwaka 1891.Mechi kati ya WOLVERHAMPTON dhidi ya ACCRINGTON,mchezaji wa wolves,"Bill Heath" ndiye aliyepiga penati hiyo
.View attachment 407651
"alipata mkuu"ila cha maana ilikuwa ya kwanzaVipi alipata?