LIKE1976 - Francesco Totti anazaliwa.
Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.
Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.
Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.
Pia hujulikana kama, " El Capitano De La Roma. "
Tozi nyangema tokea aibiwe simu, sasa analeta picha hapa.. utazani internet inasoma E.Yeah Bitoz Nyangema anataka aitwe Tupac
Google such."Makapuku mbumbumbu"1998 - Google yaanzishwa rasmi.
Leo wanasherehekea miaka 18 toka kuanzishwa kwake.
Kumbe ni huyu??Katika ubora wake alikuwa katili mbaya
Uchochezi...Tozi nyangema tokea aibiwe simu, sasa analeta picha hapa.. utazani internet inasoma E.
Hana tofaut na mkwepa kodi naye anapasha kiporo
Weka pichaGoogle such."Makapuku mbumbumbu"
Majina yaliyokuja mmmh
...........
Mmoja wa wachezaji wa mwisho mwisho ambao hawapendi kuhama hata upeleke kontena la pesa1976 - Francesco Totti anazaliwa.
Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.
Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.
Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.
Pia hujulikana kama, " El Capitano De La Roma. "
Umewahi ona movie zake? Hatakagi ujinga kaka adui
Google such."Makapuku mbumbumbu"
Majina yaliyokuja mmmh
...........
Mmmh mweeacha kashfa wewe fisi Fc
Hamna la maan tozi anazingua tuWeka picha
Kweli baba yangu mzaziHahaa aisee we Bitoz bana, sa umenichagua mimi wakati unajua kabisa nna mamsapu hapa ungempa jonax bana au MKWEPA KODI
Hakuna tatizoAsiwe na wasiwasi kwakuwa tunasafiri kikazi, au kuna tatizo?
Huyu mzee anazeeka vibaya hahahahahaWapiga puli hao hawana experience hizo
....
Kuna mwingine kipindi cha utoto tulikuwa tunamuita Carlos na yeye hana tofauti na huyu.
Hakika mkuu. Amebaki kuwa loyal kwa klabu yake licha ya kuwa timu yenyewe ilishapoteza ubora wake.Mmoja wa wachezaji wa mwisho mwisho ambao hawapendi kuhama hata upeleke kontena la pesa
......
1982 - Leo ni siku ya Kuzaliwa ya Lil Wayne.
Ni rapa wa muziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
Umenifanya nmechoma mafuta yangu bure, kumbe hamna ishu huku googleGoogle such."Makapuku mbumbumbu"
Majina yaliyokuja mmmh
...........
HahahahahaNimechana zen sitamjibu chochote
(Nimefanya kusudi zen nadelete post )
Sipendagi ujinga mimi
.........