We naona ulininukuu vibaya.. Hebu kasome tenaMakaveli anakazia sana swala la wewe kuwa manfongo kunani kwani na pacha?
Mpaka kero sasa...Mara kwa Mara anapitisha hapa halafu tangazo lake ni hilo hilo
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Bora useme wewe kiazi nikisema mie muhogo nina mzizi..Hakuna kitu hilo jina alibatizwa na binamu yako.
Haya sio maji ni water kabisaMakapuku wenzangu mjitahidi kunywa maji
View attachment 407205
Mie siwez kuleta fitna bhanaFitna zimeanza ila namuamini Briz
Haya sio maji ni water kabisa
We mtoto adabu huna eehh..Huyu anaanzaga hivi hivi mwisho atafanikiwa kumfyatua mama yangu, kuingia humu jukwaa la Makapuku alianza hivi hivi sasa hivi ni senior member
huyu kweli hana adabu ananisingizia tuWe mtoto adabu huna eehh..
Barcelona...
Hahahahaha huyo akikupa like basi ujue anataka kukufyatua hahahahaha
Umesoma uhuru ya leo (gazeti)ni mwendo wa mapanga shaa
Huyu mwanao mzima kweli...Hilo halitatokea...
Mi naitwa Jimena Jimenes de Bristol muke halali ya briz
Utaelewa vip n wewe wazaz wako wamekupeleka santi kayumba primari skuliHapa mama yangu sijaelewa
Fresh tuZakushinda makapuku!?
Si unaiona..hii picha ipo humu
Lilisemaje?Umesoma uhuru ya leo (gazeti)
Achana nae, yawezekana yeye akawa takataka za jalalani au funza ndio maana anatujua vizur nzijamani kuna mbweha anatuita nzi huko