Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
nibadilishe??Tatizo avatar yako ndo inanifanya nipite vileee
nibadilishe??Tatizo avatar yako ndo inanifanya nipite vileee
Fitna zimeanza ila namuamini BrizNini tena jamn?
Lakini si umefurahi unakula kwa nafasi??yan huyu szczesny huyu ilibidi asiondoke mpaka ningerudi aisee
Huyu anaanzaga hivi hivi mwisho atafanikiwa kumfyatua mama yangu, kuingia humu jukwaa la Makapuku alianza hivi hivi sasa hivi ni senior memberjimena hujambo dada
Umezitoa wapi?? Mi nimetoa zaidi ya 50,000 na sijafikia mwisho we umefikaje? Tuanzie hapo kwanzanimetoa mpaka nimeambiwa you have reached likes minus(utoaji wa likes)
umeanza wivu eeh??ameniomba nibadilishe avatar tee tehhHuyu anaanzaga hivi hivi mwisho atafanikiwa kumfyatua mama yangu, kuingia humu jukwaa la Makapuku alianza hivi hivi sasa hivi ni senior member
Labda anakumbushiaMara kwa Mara anapitisha hapa halafu tangazo lake ni hilo hilo
![]()
![]()
![]()
.........
Kwani ndio ushamaliza??Mzee wa picha anakujaa
WaterMakapuku wenzangu mjitahidi kunywa maji
View attachment 407205
Ndionibadilishe??
yalikuwa makosa ya kiufundi sasa hali ni shwali...haa haahUmezitoa wapi?? Mi nimetoa zaidi ya 50,000 na sijafikia mwisho we umefikaje? Tuanzie hapo kwanza
Hatutaki ujinga sisiHupendagi ujinga
![]()
![]()
![]()
......
Jukwaa la matangazo si lipo anapost kadri anavyotakaLabda anakumbushia