Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
[emoji53] we si ndo ulinitishia last night kuwa utanipiga Ban?..Genda Heka linapita
Niko hapa sasa jaribu uone, kama sijakukata makofi
[emoji35] sipendagi ujinga mm
[emoji53] we si ndo ulinitishia last night kuwa utanipiga Ban?..Genda Heka linapita
Huku panya road wengi kuliko idadi ya waliomaliza la 7Naona wazee wa mabibo wamechukua simu yao....pole.
Genda Heka linapita[emoji53] we si ndo ulinitishia last night kuwa utanipiga Ban?
Niko hapa sasa jaribu uone, kama sijakukata makofi
[emoji35] sipendagi ujinga mm
Inatakiwa midahalo iwepo kisheria ili tuweze kuwapima vizuriHuku kwetu, mwaka jana Monduli na Chato waligoma kwenye mdahalo.
Ni kwel[emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaweza imani/hisia za watu
Ht usipotana nywele watakuona chizi lkn staa akifanya hivyo itasemwa ni fashion
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
HahaaaaaHuku panya road wengi kuliko idadi ya waliomaliza la 7
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Shemla ndiyo niniKaribu shemla
Nyie ni mapachaGenda Heka linapita
Aah!!! Chama la wanaaa.....mtu chali[emoji13]Ahsante Iron Lady, ngoja niwaletee leo katika historia kwa udhamini mnono wa Stand United a.k.a Chama la wana.
Utofauti wake ni upi?Yako itakuwa ni tattoo tu
We nae kikofia ni king'ang'aniziUtofauti wake ni upi?
Swaaari kabisaMorning.... Habari ya jumatatu?
Ni çunadoShemla ndiyo nini
Moningi Kapuku mwenzanguMorning pipoz
[emoji2][emoji2][emoji2]Huku panya road wengi kuliko idadi ya waliomaliza la 7
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Mmmmmh hapa nitadanganywa tu maana hakuna namna mweeeNi çunado
Moningi mama mdogoMoningi kitwanga
Moningi Kapuku mwenzanguMorning family
Mwanangu upunguze pombe sasa...jana usiku nimeomba sana kwa ajili yako.Moningi mama mdogo
çunado ni shemejiMmmmmh hapa nitadanganywa tu maana hakuna namna mweee