Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Ndo vizuri siyo kunitegemea mimi tu na nimepata majanga lakini watu wanauchuna kuokoajahazi wanapiga stori tuView attachment 406952View attachment 406953 Duuh ana matattoo balaa
.............
Ndo vizuri siyo kunitegemea mimi tu na nimepata majanga lakini watu wanauchuna kuokoajahazi wanapiga stori tuView attachment 406952View attachment 406953 Duuh ana matattoo balaa
Je na mm nkiamua kuchora alama ya pyramid kwenye paji langu la uso.Ipo usoni kweny paji la uso
Wabunge wa yanga waifunga Simba?, hii ni kali
Itaashiria ww ni kibaka wa mafiga ma3Je na mm nkiamua kuchora alama ya pyramid kwenye paji langu la uso.
Je itadhibitisha pia mm ni mjenzi huru?
Kwi kwi kwi kwi kwi mweeeI swear nilivyoingia humu nilijua wewe ni mdada. Ila badae kufuatilia chatting ndio nikagundua sio.
Mlozi fix yule
Ngoja "Karanga" amuumbue
![]()
![]()
![]()
.........
yani nmecheka mbayaa.

MorningMorning all
Ntakusaidia rasmi kuanzia kesho hadi simu yako ikitengemaa leo kidogo tu.Ndo vizuri siyo kunitegemea mimi tu na nimepata majanga lakini watu wanauchuna kuokoajahazi wanapiga stori tu
.............
Asante mama yangu ubarikiwe sana kwa kutupa mkate wetu wa leoView attachment 406906View attachment 406907
Kwa hisani ya Pogba sina budi kukufanya kila kilicho changu na kumpisha Mussolin5 a k a bepari aje atupe historia
Muwe na wiki njema
Nawapenda wote
Siyo mbaya ht kesho unaweza kumsaidia Mzee wa historia...Mimi simu niliyokuwa natumia kuleta picha + live updates vibaka wamebebaBitoz niwie radhi nashindwa ku upload picha zaidi..nimeishiwa MB
Au ndo kama ile mm nkivaa jins ya mchaniko chaniko naonekana fukara lakini akivaa diamond anaonekana amependezaItaashiria ww ni kibaka wa mafiga ma3
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Heeee!Asante mama yangu ubarikiwe sana kwa kutupa mkate wetu wa leo


Naona wazee wa mabibo wamechukua simu yao....pole.Siyo mbaya ht kesho unaweza kumsaidia Mzee wa historia...Mimi simu niliyokuwa natumia kuleta picha + live updates vibaka wamebeba
Hii ninayotumia nabahatishabahatisha tu ishu za picha
..............
Ntakusaidia rasmi kuanzia kesho hadi simu yako ikitengemaa leo kidogo tu.
Monin MpMorning
Yako itakuwa ni tattoo tuJe na mm nkiamua kuchora alama ya pyramid kwenye paji langu la uso.
Je itadhibitisha pia mm ni mjenzi huru?
Utaweza imani/hisia za watuAu ndo kama ile mm nkivaa jins ya mchaniko chaniko naonekana fukara lakini akivaa diamond anaonekana amependeza
