Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watu wameamua kuanzisha kikundi chao cha mafundi ujenzi.
Wakajiita freemason eti nyie mnasema ni waabudu shetani!

Mbona sisi tuna chama chetu cha CHAPUTA lakini hamkiongelei?
Nenda jukwaa la sports kuna mtu kaanzisha thread anauliza kwanini Utd wanaitwa Red Devils.....yule jamaa mzushi wa JF akamjibu kilozi halafu pointless

............
 
1983 - Ricardo Quaresma anazaliwa.

Ni winga wa zamani wa Barcelona, Inter milan, Chelsea na Porto.

Wakati anakuwa alichukuliwa kama mmoja wa wachezaji mahiri watakaokuja kuwika wakikuwa.

Lakini hakuwahi kukidhi matarajio ya wengi. Yumo kundi moja na Javier Saviola, Pablo Aimar na wengineo walioshindwa kung'aa ukubwani baada ya kung'aa udogoni.
1474873021226.jpg
1474873025528.jpg
Duuh ana matattoo balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom