Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Saa 5 USIKUSio ya kukosa hii
............
Saa 5 USIKUSio ya kukosa hii
Ngoja nkachek mechi kwa hotel najua watatumia generatorHata huku kulikuwa na majanga umerudi SAA 12
..........
Huku umerudi saa 1 hiviHata huku kulikuwa na majanga umerudi SAA 12
..........
Kero tupu....Umeme umekuwa kero sana kwa sasa
TANESCO maviHuku umerudi saa 1 hivi
Ngoja nkachek mechi kwa hotel najua watatumia generator
Mbona umewasifia sana, hawa ni mizogaTANESCO mavi
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Ulikatika nchi nzima nini!!!Huku umerudi saa 1 hivi
Mbona domo anadai wamekubaliana!!?Mi nilijua walikubaliana na Saida karoli kuurudia tena, Dimondi nae ni mswahili kha.
Duh!!Ulikatika nchi nzima nini!!!