HIZI NI BAADHI YA TABIA ZA WACHEPUKAJI!
Hachezi mbali na cm yake yuko nayo kila wakati
Text za inbox na alizotuma hufutwa kila wakati
Ukimuomba cm yake ghafula atakwambia hebu kwanza.....
Haweki mlio kwenye cm yake inaita kwa vibration
Namba nyingi haja save na kama amesave bas huwez hisi chochote kibaya kulingana na majina anayosave
Kuna cm nyingine hapokei hata iweje ukiimuliza anakwambia aaah huyo msumbufu tu muache!........
Anapenda kutumia SMS zaidi
Anapenda password na anabadili mara kwa Mara
Akiazima cm yako na kutumia akimaliza hufuta kila kit
Muda wote yuko na cm yake hakai nayo mbali hadi bafuni wengine huenda nazo
Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu cm, anajishitukia
Akiwa anachati anakuangalia Mara kwa Mara kiwiz wizi so wewe utajua anachek program za kawaida tu kwenye cm
Hawez kukuweka kwenye profile yake akikuweka humaliz Masaa mengi anakutoa!!
SI HUKUMU MTU na wala hiyo so kaz yangu kuhuku! Lakini tuwe WAAMANIFU KWA WENZI WETU DAIMA!!!