Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Baby relax, huyo jamaa anataka akutoa kwenye mood tu mpotezeeHahahaaa napunguza wifi
Baby relax, huyo jamaa anataka akutoa kwenye mood tu mpotezeeHahahaaa napunguza wifi
Nashukuru kama umejua lengo langu lilikuwa ujue tu..Na uanze kumwita shemeji sasa kwa heshima tele..Aisee mbona najua ushang'oa hichi chuma! Jiamini mkuu
Sijui nitaikuta ngoja nijimwagie maji humu watu full kupandishana midadi dooohhhh sex hormones zimenibana ngoja nizishushee...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Replies
Loading
........

Bwahahahahaaa eti .... anasafiriNa bwana atakubariki mno...Ila wewe mbona kama huna kituo ama bado unasafir?
Naona ndo mission yake kuja kuchukua wake za watu huyoUmepania kumuiba wifi yangu
I like that foodEndelea kuleta kibur utakula jeuri yako..

Furaha yangu ni kuona watu wanapata kitu roho inapenda,mkuu vipi mbona hii kampeni unaifanya kwa moyo sana au kuna ka rushwa umeahidiwa....nimewaza tu lakini![]()
![]()
Nashukuru sana Mkuu.... Pamoja sana.Mwanaume lazima upambane, hongera Mkuu.
Wee mkuu asikuambie mtu wanawake aina hii utamu wao si mchezo refa wewe mchezaji wewe hatari sana mimi aaaa raha sana wanawake wenye mizigo nyumaNasikia hao kunako 6*6,hamna kitu yani kama chatu.
Endelea tu kijana
Wito unanitafuna natamani vijana wa tz waijue nuru, kule kwetu Ethiopia nimemtangaza sana Kristo mkuu wanguKwa kupenda ama imekulazimu maana kituo hukioni..?
Karibu sanaNa mimi naomba kujiunga huku kwa makapuku wenzangu nimechoka na madharau ya wanaojiona jf mali yao..
HahahaWee mkuu asikuambie mtu wanawake aina hii utamu wao si mchezo refa wewe mchezaji wewe hatari sana mimi aaaa raha sana wanawake wenye mizigo nyuma
Karibu sana kamtu 33Na mimi naomba kujiunga huku kwa makapuku wenzangu nimechoka na madharau ya wanaojiona jf mali yao..
Would like a glass of Hernesy V.S.O.P.???Endelea tu kijana