Kim Il Kwon
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,219
- 1,036
wana kamsemo kao utasikia eti matokeo ya BRN!!Mtu ukitoa mchango kumchallenge mkongwe utasikia vimaneno vya kejeri kama "mtu mwenyewe umejiunga feb 2016" au "senior member".....kama mtu kajiunga feb 2016 hana haki ya kuchangia?!😱 au senior member hana haki ya kuchangia😱
Kwahiyo Hayo magari hayapati ajali
Amazing
Mapenzi bwana
.............
Hahaha faiza unataka nyumba isikalike hehe itikadi zetu tofauti
Kweli inabidi tupange evening classes, nikupige msasa.Tatizo mie ni kizee swaga sina kabisa naomba ufungue darasa la swaga nipate mautalamu
Wewe ni rijali nitathubutu vipi kudhan hupewi tunda LA katikati ili hali wanawake wapo na wewe mjogoo uko sawa hauna hitlafu? Kila kheriunadhani ulivyoninyima ww na wengine hawanipi... Hapa hapa jukwaani nishapata watatu
Umrmshauri vema kabisaMkuu cha muhimu tafuta chombo kipya tenaa kikali hadi aoneee wivuuu
Hehehehe bitoz nipe utaalamu kidogo sasa nina 45 lakini sina hata mrembo hivi ninaweza kuwa na gundu ama??
Yanapata km kawa ila HAYAWEZI KUPINDUKA labda tu "kudondoka" mfano kutumbukia darajaniKwahiyo Hayo magari hayapati ajali
Hahahaha si bora kwenye tv nahisi kwenye magazeti tu ya udaku na story za abunuwasiKweli inabidi tupange evening classes, nikupige msasa.
Bila hivyo watoto wazuri utaishia kuwaona kwenye runinga tu.
Tupo salama kabisa Mkuu (japo nimechelewa ku reply).Nahrene
Bitoz
Jonax
EMMYGUY
Jimena
Ibra87
Cute b
amaizing
sumbai
Peterchoka
Th Name
Teacher on duty
sizza
Na makapuku wengine wote mmeamka salama?
Karibu tena mkuu.Tumetoka karibu tumefika mbali
Ajali ajali tu. Mfano ligongwa kwa nguvu kabisa. Labda ngoja tuoneYanapata km kawa ila HAYEWEZI KUPINDUKA labda tu "kudondoka" mfano kutumbukia darajani
Ajali nyingi watu hufa sababu kuu ni basi kupinduka
It is safe
.................
Au utasikia shule zinafunguliwa lini?wana kamsemo kao utasikia eti matokeo ya BRN!!
Tupo woteee mie nipo na kibukta tu hapa pamoja na mkuki
Team popoz, kumbe ndo mkaamua kukaza jana.... Good morning!ok, mlinzi nipo hapa.. nawalindia like zenu zisije zikaibiwa pamoja na wake
Mbona mimi sijatajwa hapooTupo salama kabisa Mkuu (japo nimechelewa ku reply).
Nimeamka salama kakaNahrene
Bitoz
Jonax
EMMYGUY
Jimena
Ibra87
Cute b
amaizing
sumbai
Peterchoka
Th Name
Teacher on duty
sizza
Na makapuku wengine wote mmeamka salama?
Hii ni ngumu kumeza.Kwahiyo Hayo magari hayapati ajali