Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Usimsaliti bhana we komaa tuKalala ndio. Amechoka
Usimsaliti bhana we komaa tuKalala ndio. Amechoka
Siwezi! Namm nalala.Usimsaliti bhana we komaa tu
ona sasa umesharusha stimu zangu.. huyo Youngblood ndo mdudu gani?![]()
sawaa mkuuu mda s mrefu natua hapo ila youngblood yupoo kwel
Fanya hivyo mkuu mana siku ukiupgrade kidogo utajikuta kwenye yale mambo ya chid benz.Ngojaa nam niachee leoo nisijee haribikaa akil na mwil kwa ujumlaa
Hutopata likes hapa za wenye wake zaonaombeni leo mimi niwe mlinzi wenu hapa Makapuku Forum.
niwalindie like pamoja na wake zenu. hivyo mimi ndo nitakuwa wa mwisho kucomment hapa
kwanini mkuu?Hutopata likes hapa za wenye wake zao
Wivu mkuu, si ushagusia swala la wake zaokwanini mkuu?
Mkuu bado mna uadui kwanona sasa umesharusha stimu zangu.. huyo Youngblood ndo mdudu gani?
Ilee makitu n mbaya unaweza ona njiti ya kibiriti ni Gogooo au tutaFanya hivyo mkuu mana siku ukiupgrade kidogo utajikuta kwenye yale mambo ya chid benz.
Wivu mkuu, si ushagusia swala la wake zao
inawezekana kuwa kwel mkuu..Kisaaa yuleee bint ndo mnachukiana mkuundio, tena namchukia sanaaa
![]()
![]()
![]()
Teh teh fanya ivo mkuu mana ukijaribu kwa wengi mara nyingi huwezi kufeli kabisa![]()
![]()
inawezekana kuwa kwel mkuu..
ila kesho nimepanga kutongoza mademu wote humu huenda nikaambulia kitu, maana youngblood amenizidi kete aisee
ndio huyo huyo, unanishauri vipi hapa mkuu..?Kisaaa yuleee bint ndo mnachukiana mkuu
Hilo ndon la msingi alifanyeTeh teh fanya ivo mkuu mana ukijaribu kwa wengi mara nyingi huwezi kufeli kabisa
Mkuu cha muhimu tafuta chombo kipya tenaa kikali hadi aoneee wivuuundio huyo huyo, unanishauri vipi hapa mkuu..?
niendelee kumfuatilia yule binti au nivute chombo kingine kikali mpk yeye mwenyew aone wivu?
Teh teh fanya ivo mkuu mana ukijaribu kwa wengi mara nyingi huwezi kufeli kabisa
ni kwel kamanda ila yote nayafanya kwa ajili ya kuchangamsha jukwaa tuu, havina uhalisia kokote paleewaah! basi nitafanya hivyo mkuuMkuu cha muhimu tafuta chombo kipya tenaa kikali hadi aoneee wivuuu