shaban lee
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 311
- 926
Poaa mkuu ngoja na mimi nilalee maana usingizi umekaba macho yangu Uwe na ulinzi mwemaewaah! basi nitafanya hivyo mkuu
Poaa mkuu ngoja na mimi nilalee maana usingizi umekaba macho yangu Uwe na ulinzi mwemaewaah! basi nitafanya hivyo mkuu
Tupo woteee mie nipo na kibukta tu hapa pamoja na mkukiok, mlinzi nipo hapa.. nawalindia like zenu zisije zikaibiwa pamoja na wake
shushia na fegi kidogo ili usipate baridi mkuuTupo woteee mie nipo na kibukta tu hapa pamoja na mkuki
Hahah wewe unasema fegi wakati mwenzio nina bangi ya njombeshushia na fegi kidogo ili usipate baridi mkuu

Mlinzi na buktaTupo woteee mie nipo na kibukta tu hapa pamoja na mkuki

Hahahaha masai nimevamia mjii mkuuMlinzi na bukta![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Niliamka kuchek kuwa mpo makin, haya wakuu endeleeni na kaziTupo woteee mie nipo na kibukta tu hapa pamoja na mkuki
Hahaha karibu sanaa mkuu huku ndio kwanza kazi inaanzaNiliamka kuchek kuwa mpo makin, haya wakuu endeleeni na kazi
Miee napumzika Tukijiwa asubuh tutaonanaaHahaha karibu sanaa mkuu huku ndio kwanza kazi inaanza
Pamoja mkuuMiee napumzika Tukijiwa asubuh tutaonanaa
Hivi anajua unachokifanya yulemrembo usilale
Wewe huyotoroka uje
Kumbe ndo zakoaje pm
shemeji si alisema anapenda changamoto ndo nilikuwa namchallenge kidogo nimuone, si kwa ubayaHivi anajua unachokifanya yule
Wewe huyo
Kumbe ndo zako