Atawanyonga huyo balaaWananyongwa mkuu sema Tume za Haki za binadamu zilisupaliwa
Adhabu ya kunyongwa ipo kwenye PENAL CODE .........Sema utekelezaji tu ndo magumashi na lazima Rais asaini ili mtu anyongwe
Nafikiri Dikteta Uchwarer hana huruma
.........
BaadayeMtoto mkosi
Me ni bosi
Nakuamuru we kifesi
Uachane na wadosi
Maana unawapa mkosi
We kale mapeasi
Huku ukitoa kamasi
Mademu waachie wagosi
Wakuonyeshe makrosi
Mambo ya Toz hayo
Tisher mbayaaaMtoto mkosi
Me ni bosi
Nakuamuru we kifesi
Uachane na wadosi
Maana unawapa mkosi
We kale mapeasi
Huku ukitoa kamasi
Mademu waachie wagosi
Wakuonyeshe makrosi
Yeah wengi ambao wako jera ukikaa nao vizur ukamuhoji mmoja mmoja fresh na ukimsoma saikolojia utajua tu amefungwa kimakosa...nadhani hii kitu ipo karibu Magereza yote Duniani sio wote wanaofungwa wana hatia wengine wamesingiziwa wakakosa tu mawakili wazuri wa kuwatetea unaweza ukawa innocent ila huna power ya ku prove innocence.Mi mwenyewe nina uzoefu wa Law nimekutana na kusoma kesi nyingi
Yaani sheria ni km mchezo kati ya
Mpeleka mashtaka (Jamuhuri) dhidi ya mtuhumiwa ......kinachoamua hukumu ni ushahidi/evidence tena samtaimu ni wa kutunga tu au linachezwa dili
Naamini idadi kubwa ya wafungwa wameonewa halafu wanaostahili wapo kitaa wanakula bata
.................
Kumbe humu kuna vipaji aiseeWadosi nuksi
Wachafu hawajui seks
Kama hujui muulize mox
Ukicheza utafanywa fisi
Bahati ya mengine sawa ila sio kuchukua 100kBahati unayo sana jirani,
Naona wamemtoa kafara mwenzao kimchezo mchezo hivi hivi....na najua tu safari hii saini itapigwa tu jamaa atanyongwa kweli, japokuwa wa nyuma walikuwa wanapuuzia hukumu za kunyongwa.
Polifix
..... ......
Mwinyi hakuwa na shobo na mtu.NUKUU NO 1#
Nataka kwanza tuelewane kabla ya kusema lolote, kwamba siasa bado ni ile ile, haikugeuka hata kidogo
Ni ile ile ya Ujamaa na Kujitegemea.
Kule Zanzibar tulizungumza mambo mengi miongoni mwake ilikuwa ni kutoa baadhi ya vipengere vya katiba ya CCM vilivyochukuliwa toka azimio hilo, ili twende na wakati
Maneno haya yalipata kutamkwa na Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassani Mwinyi, Mach 25,1991 katika ukumbi wa diamond jubilee wakati akizungumza na wazee wa Dar es salaam kufafanunua taarifa kwamba kikao hicho cha Zanzibar kuliua azimio la arusha
NUKUU NO 1#
Nataka kwanza tuelewane kabla ya kusema lolote, kwamba siasa bado ni ile ile, haikugeuka hata kidogo
Ni ile ile ya Ujamaa na Kujitegemea.
Kule Zanzibar tulizungumza mambo mengi miongoni mwake ilikuwa ni kutoa baadhi ya vipengere vya katiba ya CCM vilivyochukuliwa toka azimio hilo, ili twende na wakati
Maneno haya yalipata kutamkwa na Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassani Mwinyi, Mach 25,1991 katika ukumbi wa diamond jubilee wakati akizungumza na wazee wa Dar es salaam kufafanunua taarifa kwamba kikao hicho cha Zanzibar kuliua azimio la arusha
NUKUU NO 2#
NUMEIRI shairi anapenda lakini lile linalomsifu
Kawanda anawanda hasa akisikia maafu, vita, njaa ya watoto wafu. Elimu ambayo ni sakafu ya maisha, kwake ni ubabaifu.
Maneno haya ni sehemu ya ushairi wa mwandishi stadi wa riwaya,
Ebrahim Hussein
Akiandika kuhusu Numeiri mtawala aliyepata kuitawala Sudan kwa mabavu katika miaka ya 1980. Hussein alizaliwa 1943
MiaBaadaye
.............
Baadaye
.............
NUKUU NO 3#
Nasikia baadhi ya viongozi huko mikoani wanagombania nyumba na magari
Mambo hayo sio muhimu. Viongozi watafanya vizuri wakigombana kuhusu maendeleo ya wanavijiji. Huo ni ugomvi mtakatifu, sawa na mwananchi anayeiba mbolea na kuitumia katika shamba lake
Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania
Edward Moringe Sokoine, October 1982 akiwa Arusha kama mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
Sokoine alizaliwa Agosti Mosi, 1938. Na alifariki Dunia kwa ajali ya gari akitokea Dodoma April 12,1984
NoumerTupaishe Flavi....hadi Trump!!Duuuuh!!