sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
TamKitu gan hiyo Werraa?
Njoo nikudunge![]()
![]()
Naona unajivutia uzi
Jumba la video!Mkutane wapi???![]()

Huu ni uchocheziItabidi mapinduzi yafanyike![]()
![]()
![]()
MacaveliYuko na matatizo leo![]()
![]()
Me naisubiri 110kSinaga bahati...nilichukuaga 78K tu nakumbuka
eeeeeeeeeeeeeehEeeeh![]()
![]()
![]()
Uchochezi wa nini sasa???Huu ni uchochezi
Acha ukali wewe, hujui ng'ombe mkali ndo mwenye maziwa mengi???Huu ni uchochezi
Ukiingia soma post ujue uzi umeishia wapi kabla ya kuquote mbona wengine huu ujanja wanajuaHamna sio watu hawataki kuachia nafasi, unakuta uzi maybe una post 20 au zaidi mbele so mtu hawezijua kama umeingia coz anafukuza uzi that's what happened to me!!!
Angalia usijikwaeEeeeh![]()
![]()
![]()
Aaah nimekosea pia sorryAmefanya nini???![]()
![]()
Nipo gheto na kishikwambi toka Manzese tuna fanya tokoto tangu asubuhiLeo ijumaa umepotea sana, au kambale hawajavuliwa leo?
Mmmh......na wasiwasi na afya yakoAaah nimekosea pia sorry
Wala!!! Nenda kaangalie, mkiwa wengi na unajibu quote lazima uachweUkiingia soma post ujue uzi umeishia wapi kabla ya kuquote mbona wengine huu ujanja wanajua
Shida ni pale mtu anapoingia na kiherehere cha kuquote post kuanzia alipoishia mara ya mwisho
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......................

Njoo nkutibu huo ugonjwaAaah nimekosea pia sorry
