sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
We si unajua mimi mjedaSiamini usemacho
We si unajua mimi mjedaSiamini usemacho
Hawa vijana, si nongwa, it seems hicho ndio wanachotamani kitokee.. Hapo nimesema wangu.. Ningetumja dear wangu, si ndio mibichwa yao ingesafir many miles..Hawa jamaa bana yani mi mwenyewe nimeiona hiyo 'wangu' hata siku-doubt chochote kwa kuwa hata mi huwa naitumia kwa ladies karibu wote humu.. Sasa i wonder leo we kuitumia kwa JJ imekua ni topic ya briz kupinduliwa

Itakuwa anaogopa kupasuliwaUnajitetea kwani unaogopa manundu???![]()
Oh!!! Mwanaume maamuzi magumu....sijui nini na nini!!!....dah nikasema mwanaume si huyu kumbeeee!!!....mwanaume mai futKama ni taifa we ni marekani aisee..

Mukongo iko ni kifurugobe..

We nae umoo.. Sijui umerithi wapi hiz nongwa.. Wazee wako niliish nao mtaan walikuwa watu wazur tuu, dada zako, kaka zako.. Wote hawa.. We nae hapo nyuma ulikuwa vizur tu, ila toka uwe na mkongo amekuharbu maskin..Bao la kisigino hilo![]()
![]()
![]()

Hivi ni kweli sisi ni wachochezi???
BwahahahahahaaaWe mfate tu huyo mkongo man.. Utapotea. Shaur yako.. Unamjua vizur huyu kwanza wewe.. Nakuona tu unamfata fta
Hiv ushawahi kusikia dwarf wa kongo.. Wale watu wafupi wala nyama za watu congo.. Huyu ndio katibu wao.. Huon kalivyokuwa kafupi.. Sasa wee endelea, yatakayokusibu mie simo.. Ukapikwe supu huko, watu wakutafune![]()
![]()

Mtoto mwenyewe mkali gigy money..Amuna! Niko na mutoto mukaleee Tanzanie Muzima HAKUNAGA!!!
..Man4ngoMakaveli10 mchizi wangu ana baby wake hapa na hawezi kuniharibia ilhali wa kumoyo wake yupo karibu yetu labda kama huyo mfanya mapinduzi ni wewe
Jitenge na huyo mkongoMe huwa sipendi watu wachochezi.....kwahiyo siwezi kuwa mchozi
Walikuja kwa kasiMpaka hapo wameshindwa kabisa
Unaanza kujiteteaMi nilikuwa naongelea mapinduzi ya jana kumbe wao walimaanisha wewe!![]()
Sema Malekani Papaayani we ni kama wanasiasa wetu tz hapa huna urafiki wala uadui wa kudumu
Kwani nimekuwa koo, mpaka niteteeAnataka kujitetea
Ulidhani sintakuja au sio.. Kifurugobe wee.. Andunje wa misitu ya kongo..![]()
![]()
![]()

