makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Tena wa hali ya juuHuu ni uchochezi[emoji16]
Tena wa hali ya juuHuu ni uchochezi[emoji16]
Suu[emoji1] [emoji1]Hahahaaa! sema suu?!
Hawa jamaa bana yani mi mwenyewe nimeiona hiyo 'wangu' hata siku-doubt chochote kwa kuwa hata mi huwa naitumia kwa ladies karibu wote humu.. Sasa i wonder leo we kuitumia kwa JJ imekua ni topic ya briz kupinduliwaWe bhana wee.. Umetafsr vbaya eehh..
Mie kusema morng jimena wangu, haimaanishi ni mpenz wangu..
Ila inaonesha ni kipenz changu... Moja kati ya watu ninaowakubali.. Wee swaga hzi kongo hamna..
Usinivunjie udugu na briz bhana..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio[emoji2][emoji2]Mukongo iko na wivu mubaya sana
Apiya[emoji3]Hawezi kujibu
Cc sweetiepieKweli kabisa.....kama wewe ulivyopinduliwa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mie sio man fongo bhana..Mbona hapo [emoji115] juu anamsabahi na malovee na miss nyingi!!!
Watu wameshafanya mapinduzi ya kijeshii[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Wapi uchochezi mamii?Wewe ni mchochezi mzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hiiAmekaa upande
Jana Man U imepinduliwa hasira zimeishia kwako sasa[emoji16][emoji16][emoji16]!Hawa jamaa bana yani mi mwenyewe nimeiona hiyo 'wangu' hata siku-doubt chochote kwa kuwa hata mi huwa naitumia kwa ladies karibu wote humu.. Sasa i wonder leo we kuitumia kwa JJ imekua ni topic ya briz kupinduliwa
Tutamfungulia kesi[emoji2][emoji2][emoji2] aisee we jamaa ni mchochezi kiwango cha mbingu
Bao la kisigino hilo[emoji13] [emoji13] [emoji13]Niaje hommie, mbona watu wanataka kunipandikizia chuki kwako?
Baelezee baelewe[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] acheni hizo mukongo [emoji2][emoji2][emoji2] mi siachwi ng'ooo
Amuna! Niko na mutoto mukaleee Tanzanie Muzima HAKUNAGA!!!Mukongo iko na wivu mubaya sana
Namjua vizuri huyo ni mchochezi sana pamoja na sacajoMukongo iko na wivu mubaya sana
Moyo Mashine[emoji23]Wapi uchochezi mamii?
Pacha wakoNimetania tu jiran usikimbie.
Werrason kakuza mambo..Mbona kama 2pac alikuwa kafanya mapinduzi ya dakika kadhaa
Me huwa sipendi watu wachochezi.....kwahiyo siwezi kuwa mchozi[emoji2][emoji2][emoji2] aisee we jamaa ni mchochezi kiwango cha mbingu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] inakuhusu sana hii[emoji12] werrason signing out....