makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,930
- 104,252
Vichwa empty set..Mi nilikuwa naongelea mapinduzi ya jana kumbe wao walimaanisha wewe!![]()

Vichwa empty set..Mi nilikuwa naongelea mapinduzi ya jana kumbe wao walimaanisha wewe!![]()

Pumba???Na baadhi wanasiasa hapa kwetu pia
Una vyeo vingapi humuWe si unajua mimi mjeda
Hata mie.. Najiulza sipat jibu.. C kawaida yakeLeo sijamuona bitoz, kulikoni
Me siwezi kufanya mapinduziMakaveli10 mchizi wangu ana baby wake hapa na hawezi kuniharibia ilhali wa kumoyo wake yupo karibu yetu labda kama huyo mfanya mapinduzi ni wewe
Weka picha...Niko Palii napata habari hapa kuna mutoto HAKUNAGA
Umajuaje???Huyu atakuwa ni mdigo![]()
Masho at ya sogolombwe ni nini mbele ya mtoto wa mjini?Manundu.. Unanichukuliaje kwanza.. Nimefuzu martial arts..
Ila vyote hvyo si muhimu km utu.. Kesho nikiumwa mikanda yangu ya ngumi itanisaidia nin, km siish na watu vzur

Hajaachwa sasa.. Ile ilikuwa tunampitia mtu dengeSore I meant alieachwa![]()
Swadakta bob..Makaveli10 mchizi wangu ana baby wake hapa na hawezi kuniharibia ilhali wa kumoyo wake yupo karibu yetu labda kama huyo mfanya mapinduzi ni wewe
Haaaa ni kweli! sasa ntamshutumua vipi hubby kuwa yeye ni Man4ngo mwana mapinduzi!? mi sina wivuUnaanza kujitetea

Sio kawaida yake, mpira hauna uhusiano kabisaHata mie.. Najiulza sipat jibu.. C kawaida yake
Tatzo hataki kuelewaMwambie babu jinga....ashtuke mali zake zaliw
Itakuwa wanajuanaUmajuaje???