briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
[emoji2][emoji2][emoji2] thibitisha kwa pichaMe huwa sipendi watu wachochezi.....kwahiyo siwezi kuwa mchozi
[emoji2][emoji2][emoji2] thibitisha kwa pichaMe huwa sipendi watu wachochezi.....kwahiyo siwezi kuwa mchozi
Hamna kitu kama hyo.Mi nachofahamu mapinduzi tayari kama Man4ngo vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana yakePenzi limeshikiliwa na gundi ya majee[emoji125] [emoji125]
Acha ajichetue mafaili iko ku medha[emoji125] [emoji125]Baelezee baelewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namjua vizuri huyo ni mchochezi sana pamoja na sacajo
We ndio ulikuwa unataka ufanye mapinduzi[emoji13] [emoji13]Nyie sio watu wazur.. Ina maana mnataman sana kuona jimena na briz wake wakiachana..
Mtasubir miaka buku jero..
Jimena shem
Briz swahiba wangu
[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Moyo Mashine[emoji23]
Mi nilikuwa naongelea mapinduzi ya jana kumbe wao walimaanisha wewe![emoji23][emoji23]Hamna kitu kama hyo.
Suu selemende, chupi lake lina mende, kibao[emoji112]Hahahaaa! sema suu?!
Bitoz mapicha pichaLeo sijamuona bitoz, kulikoni
Uploading photo....please wait[emoji12]Weka picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Madeleva wana mazalau wanawachukua dada zao hawawapi mbongo bien alaf tukana mukaka(joke)
We mtetee tuu.....ila kaa ukijua mapinduzi loading.........Hawa jamaa bana yani mi mwenyewe nimeiona hiyo 'wangu' hata siku-doubt chochote kwa kuwa hata mi huwa naitumia kwa ladies karibu wote humu.. Sasa i wonder leo we kuitumia kwa JJ imekua ni topic ya briz kupinduliwa
Dah.. Binadamu tena si unajua, wakiona watu yanawaendea wanataka kuharibu... Bitoz nyangema kashaharibu watu humuNiaje hommie, mbona watu wanataka kunipandikizia chuki kwako?
Ikitokea post ya kuhitaji ma picha picha utamuona tu bila shaka [emoji4] [emoji4]Leo sijamuona bitoz, kulikoni
Niko Palii napata habari hapa kuna mutoto HAKUNAGA[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We mkongonan wa chalinze nin!!? Mbona una nongwa hvyo!!?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] goli la kisiginooMie sio man fongo bhana..
Mie km dogo skide..
Nasema ushemej upo, haliwi mtu hapa.
Sore I meant alieachwa[emoji12]Naona unaniua, nikiwa hai..
Haya ujane huo vip tena, wakati kidume napumua.
Amini sasa[emoji12]Siamini usemacho