Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ina maana breeze katupwa kule[emoji117]
We bhana wee.. Umetafsr vbaya eehh..

Mie kusema morng jimena wangu, haimaanishi ni mpenz wangu..
Ila inaonesha ni kipenz changu... Moja kati ya watu ninaowakubali.. Wee swaga hzi kongo hamna..

Usinivunjie udugu na briz bhana..[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom