sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Nitakuwa Wa mwisho kuachwa....Ndo maana unataka kuachwa wewe
Nitakuwa Wa mwisho kuachwa....Ndo maana unataka kuachwa wewe
ok, mlinzi nipo hapa.. nawalindia like zenu zisije zikaibiwa pamoja na wake
Tupo woteee mie nipo na kibukta tu hapa pamoja na mkuki

Ngoja nifanye hivyoNgoja tu nisiwataje,wewe fanya research mwenyewe utawajua.
Aisee nakuoneni, inapendeza sanaHapa hakuna stress
Shukrani mkuu Tupo pamoja kwa kutembeza likeVizuri mkuu,karibu nyumbani
Tuko salama mkuu MANDELAA KIWELUsalaam kwenu nyote, ni matumaini mpo salama ..
kiwelu
Unashabikia timu yenye watumishi hewa????Mimi nipo buheri wa afya japo kwa mbaaali jinamiz la Atletico halijaacha kunijia ndotoni
Huyu achane tu na hizi mishe inaonekana muoga sana. Namhakikishia hanishind labda cute anikatae tu maana old is goldbado, jaribu tena
Nani tena mkuu.![]()
jamani kuna kikongwe amenitenda
Ridhika na wako.....Bora nipoteze uhai kwa kumuwania cute b mkuu ila sio kua na uhai kwa kumkosa
Jipe moyo utayashinda tuNitakuwa Wa mwisho kuachwa....
Ilikuaje baby katangaza mmeachana? Anyway subiria tu huruma yakeSijasahau bwana....
Ha ha ha ha ha ha ha MSN sio watumishi hewaUnashabikia timu yenye watumishi hewa????
Wameanza kukuombea mabaya.Nitakuwa Wa mwisho kuachwa....
Tupo salama....salaam kwenu nyote, ni matumaini mpo salama ..
kiwelu
Karibu sana. Na pole sana. Just relax![]()
jamani kuna kikongwe amenitenda
Hao customers nimewapenda, yani hawana haraka kabisa.