Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Tumeamka salama kabisa. Vipi weweNatumaini tumeamka salama Makapuku wenzangu.
HALLA! MAKAPUKU
Tumeamka salama kabisa. Vipi weweNatumaini tumeamka salama Makapuku wenzangu.
HALLA! MAKAPUKU
Tuko poa mkuu!Natumaini tumeamka salama Makapuku wenzangu.
HALLA! MAKAPUKU
Mkuu sio kwamba unawataja wale ulokwishachepuka nao?Wewe sio single Si unachepuka na linamo!!!!
Unadhani hatujui
Kama kawaidaaa...Naona makapuku mnaendelea kufarijiana
Ndo maana unataka kuachwa weweHa Haaaa..... Msalimu lizzy
Hapa hakuna stressNaona makapuku mnaendelea kufarijiana
Mimi nipo buheri wa afya japo kwa mbaaali jinamiz la Atletico halijaacha kunijia ndotoniTumeamka salama kabisa. Vipi wewe
Nakaba Kila konaUsicheze mbali mkuu.
Mke Wa MTU huyoYaaa ukianzia hapa na ukafanikiwa utajuta kuchelewa karibu sana kwa upande huu cute b
Tuko poa mkuu, mungu ni mwema.tuko pw kapukuuuuuuuu
Bora nipoteze uhai kwa kumuwania cute b mkuu ila sio kua na uhai kwa kumkosaUtapoteza uhai....
Acha hizo mingo... Kijana...
Sijasahau bwana....Alisahau kua ukishikwa shikamana
Ngoja tu nisiwataje,wewe fanya research mwenyewe utawajua.Wakina nani hao wanajifariji?
Mimi wa afya na nifuraha yangu nikiwaona makapuku wenzangu wako njemaTuko poa mkuu!
Mzima weye??
bado, jaribu tenaWewe sio single Si unachepuka na linamo!!!!
Unadhani hatujui
Hamna ni wale wako..... Umeshawasahau? Mara hii...Mkuu sio kwamba unawataja wale ulokwishachepuka nao?
Mimi nipo buheri wa afya japo kwa mbaaali jinamiz la Atletico halijaacha kunijia ndotoni
pole sana kijana.Vizuri mkuu,karibu nyumbaniMimi wa afya na nifuraha yangu nikiwaona makapuku wenzangu wako njema