Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Nani tena? Sijui hii taarifa aiseeEden kimaro yuko occupied
Nani tena? Sijui hii taarifa aiseeEden kimaro yuko occupied
Niko poa mkuu naona cute b anasononeka hapo kwa kuumizwa mwambie akija kwangu atasau shida zote zilizompataMkuu uko poa?
Asante mkuu,huyu mtoto atanitoa roho jamani.atakuja mda sio mref nshampaaa taarifa unamtafuta
Inabidi nifanye upelelezi kama ni kweli
Fanya mchakato sasaSawa braza....
Ibra mwenyewe hayupoa hapa, i smell something fishy.
Wote hao hawapo single....Inabidi nifanye upelelezi kama ni kweli
Yuko busy na ndoa za watu anasahau familia yake,lazima atalia tu.Acha tu jamaa atalia soon
Naomba huo upelelezi uanzie kwanguInabidi nifanye upelelezi kama ni kweli

Sasa yamemkuta kijana huyuYuko busy na ndoa za watu anasahau familia yake,lazima atalia tu.
Khaaa!!kumbe hujui mkuu,alafu ni mke wa mtu humu.Nani tena? Sijui hii taarifa aisee
Niko poa mkuu naona cute b anasononeka hapo kwa kuumizwa mwambie akija kwangu atasau shida zote zilizompata

Cc cute bNiko poa mkuu naona cute b anasononeka hapo kwa kuumizwa mwambie akija kwangu atasau shida zote zilizompata
Kwahiyo unataka kuniambia eden kimario anachukua mke wa MTU auKhaaa!!kumbe hujui mkuu,alafu ni mke wa mtu humu.
Mkuu mbona nyundo mapanga na bind uko?
Beib sijacheat ila ni haya majukumu ya kusimamia mauhisano na kufanya usajili Wa couple humu...Wew si umeamua kucheat hadharani.
Natafuta mchumba hapa hapa
Mkuu mbona nyundo mapanga na binduki?