Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Niliisema nikiwa too emotional muda huo...ila sikuwa na maana mbaya sikuona neno sahihi la kuweka pale ikabidi nitumie vile...sisi ni watu wazima maana pia ni msamiati ambao unatumika sana.Nimekuelewa ila lile neno cjui kuliwa nini...ndo limenishtua ci wajua vjazoea kusikia hiv toka kwako!
Hivi hiyo picha sio photoshop kweli? mana naona huo mzigo wake hauna ratio na mwili wakeMzigo wenyewe umenyanyuka hivyo unategemea watauachia. Too sad
Sacajo please....please mkuu ni Mungu tu humu ndani sisi sote ni makapuku sawa eeh? usiite watu wakuu.Mkuu nani muongo sasa?????
Mimi ndiye karani...mbona umeleta huku mambo ya siri hayo lakini tulikuwa vetted ujue?!! daaahKisheria sijawaambia bado! Hii ni siri ya watu wawili na karani aliyechapisha siri hii!
Mishe zinaendaje man?Ni poa, arif
Madaraka bila ya busara, ni shida mkuu.Nani amewaloga wanasiasa wa tz?
Wanataka matajiri waishi km mashetani..yakija majanga wanawapigia hao hao matajiri magoti wapewe pesa.
Wanataka mshikamano lakini hawataki suluhu na wapinzani
Wanakataa misada ya wapinzani,
Wanawaziba midomo wanaowakosoa.
Duuuh nimetokea kuwapuuza hawa watu
Na hata zisije humuhuo ni unaa, kila siku za simba tu ndo inakua shida?
Jana kingongo kiliingia kupitia mlango mwingine ndio maana sikukionaJana kingongo kaingia humu ulikuwa wapi?!!..kazi imekushinda unaacha acha geti wazi humu.
Wengine wanautumia huo msamiati najua, kwako wew mtakatifu wa Bwana hustahiliNiliisema nikiwa too emotional muda huo...ila sikuwa na maana mbaya sikuona neno sahihi la kuweka pale ikabidi nitumie vile...sisi ni watu wazima maana pia ni msamiati ambao unatumika sana.
Ushamfikisha kwenye mikono salama, shukrani kwa hilo shem lakeNimeshamleta shem wangu...very safely.
Mbaya zaidi waliotoa zile fedha za misaada ni wafanya biashara hao hao ambao wamewabana mwaka huu....Mungu anawaonyesha kwamba riziki ya mtu haizuiliwi na yeyote yule hata iweje.Duh! Sasa huo utakua ni upuuzi, afu hili tetemeko limetoa taswira pengine hata hata yale makusanyo ya tra tunayoambiwa yamevuka malengo labda ni taarifa iliyopikwa tu
Like tuu mkuu nae ajihisi mtu katika watuHizi siwezi kulike maana me ni mnazi wa simba
Bukoba katika ubora wao kabisaAkchuale Mulokozi ilikuwa afariki akiwa ndani ya V8 yake iliyokuwa full tank ila akapata msamaha kwa kuwa wakati wa tetemeko alikuwa ameenda kumpokea Byarugaba uwanja wa ndege tokea UK alikoenda kupumzika baada ya kuhitimu Masters yake ya sheria huko Harvard!
Usijar jirani...nimekuona leo uko bize kweli.Nukuu ya leo nitaileta saa nne, nimebanwa sana kwa sasa
Hivi hayo matairi ya V8 yalikuwa na dhaman gani???Akchuale Mulokozi ilikuwa afariki akiwa ndani ya V8 yake iliyokuwa full tank ila akapata msamaha kwa kuwa wakati wa tetemeko alikuwa ameenda kumpokea Byarugaba uwanja wa ndege tokea UK alikoenda kupumzika baada ya kuhitimu Masters yake ya sheria huko Harvard!
Umeona eeh?Naona anajaribu kujitetea
Ni hatari mjini hapa...ila usijali mambo yatakuwa sawa tu...uvumilivu unahitajika sana katika kipindi hiki cha mpito. Kumbuka there's always a way.Mambo aje makapuku wenzangu ndani ya nyumba??? Hope every thing is banging pamoja na ukweli kwamba hali ni mbayaaaa hela imebanana!!!!
Balimi ndogo haziendi kabisaaa. Ngoja tuendelee kutoa muda! Viongozi wanasema "tumpe muda"
We muache alete fyoko fyoko hiiiiiHakika umenena, na ukileta fyoko fyoko mtukufu akipigiwa cm hatujui ndani ya dkk 5 nin kitakuwa kimetokea
Usijali mkuu, sie hatuna ushabiki huo humu.. We tupia tu..Picha za Simba kuzipata ni shida......kwahiyo msifikiri napost kishabiki
Napenda sana kubalance mzani
..............