Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Amesajiliwa kwa Mbwembwe utasema yule Mangala wa City alikuja EPL na mikwara mingi.
umenikumbusha mzee wa maboko wakikaa yeye na company magoli lazimaMatumizi ya nguvu ni makubwa kuliko akili zao!![]()
![]()
umenikumbusha mzee wa maboko wakikaa yeye na company magoli lazima
Niambie mkuu
Wapigwe tuSuares cha 7
Aligundua kuwa kitu kichokuwa warm kinaganda faster kuliko kile kilichokuwa na joto la kawaida......na hii ukiangalia inaenda against na ile law ya cooling ya Isaac newtonIlikua mwaka gani mkuu? Na alifanya invention gani?
Vale Na Tiner
![]()
![]()
![]()
............
kumbe ndio yuleee.....basi nimeshamuelewa kingongo

Unaanza uchochezi???Mi naona kama hiyo ishu angewaachia tu akina lukuvi na makonda wangeimaliza
Hapana mkuu.....siku zote sisi haturuhusiwi kula kondooIla kondoo huwa ni watamu hasa
Nawe piaUsiku mwema!!