Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni kweli naskia white house yao hadi facilities za Rais ziko totally secured sana!! mfano ile gari aliyokuwa anatembelea Obama haiwezi hata kulipuliwa imesetiwa imewekwa sensors inaweza kukwepa hata missiles automatic na ndege yake pia...mfano ile marais wao kuuawa unakuta wao wenyewe humo humo ndio wameamua unakuwa kama mpango umepangwa hali kadhalika na white house yao wakiamua ivamiwa itavamiwa.
Sure.. Wako very secured, ila watu wakiamua wanaweza..

By the way tushawazoea hao wazee wa Hollywood.. Matukio yao yote wanatutengenezea script wanatuigizia, halaf anakuja kusingiziwa fulani.
 
Unakimbia wapi sasa
Nmerudi tena, MASELA...
1473608573907.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom