Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia:
1971 - Katiba ya Misri yaanza kutumika Rasmi.
Mother Law
........
Leo katika Historia:
1971 - Katiba ya Misri yaanza kutumika Rasmi.
Hao wabaya upande wa pili ndio wako vizuri balaa....naskia wazuri ni nje tu ndan hamnaga kitu.Muhimu tu niwe shemej yako.. Anaweza akawa mbaya zaid ya masoud sura mbaya.. Ila upande wa pili na muhimu zaid fundi na mrembo wa kitandani zaid ya kim kardashian..
Kwanza atakaejua mbaya nan, namvesha baibui na nikabu, humuon sura![]()
![]()
![]()
Huyu mbona analika vizur tu, ukimchunguza vizur huyu ni mrembo tena sana, ila bitoz katuletea picha dada yake alikuwa akaigize scene ya uzombi.. Au kampga make up za kumahribu kusud ili nisimchukue, sasa mie hapa haina uzombi ninakula.. Halaf kwa picha hii namchukua bila ya mahari, nanunua dhahabu kwa bei ya kokoto.


1973 - Jenerali Augusto Pinochet anaongoza mapinduzi ya Kijeshi nchini Chile na kumuondoa Rais Salvador Allende.
Jenerali Pinochet alikaa madarakani kuanzia mwaka 1973 mpaka 1990.
Wivu wa nin tena shemeji..![]()
![]()
![]()
We ndio unione wiv nmechukua sister wako mrembo kwa bei ya kitoga





Augusto nomaa1973 - Jenerali Augusto Pinochet anaongoza mapinduzi ya Kijeshi nchini Chile na kumuondoa Rais Salvador Allende.
Jenerali Pinochet alikaa madarakani kuanzia mwaka 1973 mpaka 1990.
Naona mpaka leo Marekan ni adui wa karibia nchi zote za Kiislam2001 - Yanatokea mashambulizi ya Kigaidi huko katika miji ya New York, ambapo ndege zilizoongozwa na Magaidi wa Al Qaeda wanashambulia jengo la Biashara la Kimataifa.
Katika tukio hilo maarufu kama " September 11 " pia walishambulia makao makuu ya Jeshi la Marekani " The Pentagon " na kusababisha watu takribani 3000 kupoteza maisha.
Baada ya hapo Marekani ikaanzisha vita dhidi ya Ugaidi, ili kuwasaka wale wote waliohusika ambao ni Al Qaeda chini ya Osama bin Laden.
Siku hizi naona yuko cool kimziki anafanya movie tu1977 - Rapa Ludacris anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hip Hop toka nchini Marekani.
Siku kama ya leo ni ya vilio MarekanNi siku ya kuwakumbuka wale wote waliopoteza maisha katika tukio la September 11 huko Marekani.
Asante mkuu!Leo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Taasisi ya Mussolin5 sina la ziada, niwatakie Jumapili njema.
Byee!!
2001 - Yanatokea mashambulizi ya Kigaidi huko katika miji ya New York, ambapo ndege zilizoongozwa na Magaidi wa Al Qaeda wanashambulia jengo la Biashara la Kimataifa.
Katika tukio hilo maarufu kama " September 11 " pia walishambulia makao makuu ya Jeshi la Marekani " The Pentagon " na kusababisha watu takribani 3000 kupoteza maisha.
Baada ya hapo Marekani ikaanzisha vita dhidi ya Ugaidi, ili kuwasaka wale wote waliohusika ambao ni Al Qaeda chini ya Osama bin Laden.
Walikufa wasiokuwa na hatia.View attachment 398015View attachment 398016View attachment 398017View attachment 398019
Sad...japo siwapendi Wamarekani
........
Nsekwa tupia picha za Asia
![]()
![]()
.......
1937 - Malkia Paola wa Ubelgiji anazaliwa.
1945 - Franz Beckenbauer anazaliwa.
Ni maarufu kama " The Kaiser "
Ni mchezaji na kocha wa zamani wa Bayern Munich na Ujerumani.
Anachukuliwa kama mchezaji bora wa Ujerumani wa muda wote japo alicheza nafasi ya Beki.
Ameshinda Kombe la Dunia akiwa Mchezaji mwaka 1974 na pia ameshinda kombe la Dunia kama kocha mwaka 1990 alipoiongoza Ujerumani kushinda dhidi ya Argentina ya Diego Maradona.
Duuh haya sio mbaya kusafisha macho hata kwa pichaJengo hilo refu linaitwa SHANGAI TOWER lina urefu wa 632m na ni la pili kwa urefu duniani baada ya lile la Dubai. Jengo la jirani yake ni la saba kwa urefu duniani.
Nimepiga picha nikiwa juu ya mnara wa TV na Radio uitwao *Oriental pearl Radio &TV Tower* wenye urefu wa 350m ambao uko kama mita 300 kutoka kwenye jingo hilo. Mnara huo kwenye urefu wa 285m pamejengwa na material transparent kama kioo yanayoonyesha chini palivyo. Jamaa wanakusanya mapato ya utalii kwa wingi sana kwenye mnara huu. Siwezi kutuma picha zote, leo natuma hizi tu za eneo moja tu.
Nawatakia Jumapili njema

Yeah wana propaganda nyingi sanaView attachment 398015View attachment 398016View attachment 398017View attachment 398019
Sad...japo siwapendi Wamarekani
........
1965 - Bashar Al- Assad anazaliwa.
Ni Rais wa 21 wa Syria.
1977 - Rapa Ludacris anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hip Hop toka nchini Marekani.