Makapuku Forum

Mimi nikipata ajira serikalini ni full rushwa,full uzembe"
Pesa ndo inaongea kitaani
Maisha yenyewe elimu tumeipata kwa kunyweshwa uji wa mahindi

........
Asante kwa kuwa mkweli "kamanda". Naomba tu maneno haya yabakie kumbukoni na kamwe nisikusikie tena ukilalamikia rushwa, uzembe serikalini, undumilakuwili wa wasomi na wanasiasa au weledi wa wapinzani. Na kama falsafa yetu jumuishi kama jamii ndiyo hii hata aje Yesu Atutawale tutabakia kulalamika tu tukizunguka katika jangwa la umasikini, ujinga, elimu butu na kuendeeleza maendeleo ya kutoendelea milele na milele. Mungu na Atusaidie kwa kweli. Ova !!!
 
Real
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…