Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Ungekuwa ni wewe ungefanyeje katika jamii hii inayoabudu mafisadi na wakati huo huo inachoma moto vibaka wanaokwapua simu na kuku?Maneno murua
Ndio maana nikasema wana njaa sababu wanachotafuta ni utajiri kwenye siasa ili wapige dili
..............
Mimi nikipata ajira serikalini ni full rushwa,full uzembe"Ungekuwa ni wewe ungefanyeje katika jamii hii inayoabudu mafisadi na wakati huo huo inachoma moto vibaka wanaokwapua simu na kuku?
Naamini kuna wasomi ambao kweli wana dhamira kabisa ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii lakini wanakumbana na mfumo kinzani na jamii isiyojali wanabwaga manyanga. Si wote wanakimbilia siasa kupiga madili!
Umeongea point kali sana!Ungekuwa ni wewe ungefanyeje katika jamii hii inayoabudu mafisadi na wakati huo huo inachoma moto vibaka wanaokwapua simu na kuku?
Naamini kuna wasomi ambao kweli wana dhamira kabisa ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii lakini wanakumbana na mfumo kinzani na jamii isiyojali wanabwaga manyanga. Si wote wanakimbilia siasa kupiga madili!
Na ukiipata tu utayasahau hayo yote....hiyo ni mehemko tu kwa sasa Bitoz.Mimi nikipata ajira serikalini ni full rushwa,full uzembe"
Pesa ndo inaongea kitaani
Maisha yenyewe elimu tumeipata kwa kunyweshwa uji wa mahindi
........
Waliomfanyia fitina huwa wanajuta sana, maana ngumi aliondoka nazoIla alikuwa hatari sana huyu. Mike Tyson
Nalifahamu hilo jiraniJiran najua badae au kesho magic watatuletea top 100 au 50 kama weekend special.
Ndio kawaida ya wacongoAcha kubana pua
.........
Kawa msela tenaMore kama hivyo....
Ujumbe kaupata
CC: Msela wa mabibo beach
NdioHivi ni mpaka afe ndo aingie mwengine?
Sawa kikofia.Hoja yako imefika na kila mtu lazima aifanyie kazi hapa
Ovaaaa
NeededList ya nn??
WoyooooPIGA KEREREEEEEEWOYOOOOOOOOOOOOO
Haha hata mi nalijua hilo... jinsia KE wengi wenu mna allergy feki na ugaliNi kweli shem sembe sikumbuki mara ya mwisho nilikula lini. Nikila ugali basi ni huo nilioutaja hapo japo sometimes ugali kama ugali huwa sipendi.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
District of ColumbiaWhat does D.C stand for???
Waha hatutaniwi sasaInawezekana