Nimechoka lipicha lako
Ndo umeenda huko?!!!![]()
![]()
balaa ila leo kupatwa kwa coco wanafunzi wa darasa la saba wamevamia tupo twingi balaa




WivuNimechoka lipicha lako
Kila siku hilohilo
![]()
![]()
![]()
![]()
........

Nendaga K.mbon kuna beach cheap sana hakuna kiingilia ziko vile cool....mfano kuna Chadibwa nadhan iko cool pia.![]()
![]()
balaa ila leo kupatwa kwa coco wanafunzi wa darasa la saba wamevamia tupo twingi balaa
Kumbe nawe umewajua kuwa ni ma money diggerrrr eeeMukongo unadhani?? wala! wasichana tuko wachache humu ndio maana! waje na wengine uone kama nitapendwa. Nadhan hilo neno kapuku limewakimbiza wanadhani wanaume wa humu Wallet hazisomi. Wanawake wenzangu Mungu anawaona!!!
Nendaga K.mbon kuna beach cheap sana hakuna kiingilia ziko vile cool....mfano kuna Chadibwa nadhan iko cool pia.
Umekosa bahati Duniani aisee, ulivyo mtamu huo ugaliMi siupendii
Kwa vipaji vyake tu yupo juu kwa kweliNachompendea Queen Latifah....Ni muimbaji japo sikuhiz nadhan hayupo sana huko, ni actor wa movies, pia ni Comedian mzuri tu na mambo ya fashion pia anafanya...yani ana vipaji double double.
Ipi hiyoMimi niliiangalia mara moya tu wala sikutaka hata kufahamu inarushwaga siku gani tena yani ni mapenzi tuuuuuuuuu....!!!
Huyu sio msukuma
Mabibo beach wanapatikana?
Umetisha sanaView attachment 396918 Tujikumbushe
Aliweka rekodi watunisha misuliHuyu sio msukuma