Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mi nilikaa hostel A level na masela anavuta bangi alijaribu kunivitisha lakini hakuwahi kufa nikiwa...vipisi vyake nilikuwa navifagia tuEnzi ya doso! Sikuwahi kuona utamu wake nikaacha!!
Alikuwa anasahau maandazi gheto week nzima hadi yanaharibika ndo namshtua...alikuwa anasahau begi tukiwa kwa Mama Nrilie na nilikuwa nauchuna hadi tufike gheto kumkomesha tu
Chezea bangi
...............