briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110




huyo mzee ana michambo hatari



huyo mzee ana michambo hatariFull vululu kama mbulu kwa mama lulu. Nambie kiongozi...Ni poa sana.. Aje aje bepari?
Nakuona mtoto wa mamaHahaa... Usipende miteremko, kaa kwako.
Zimefika mkuu, yupo hapa amechoka alikua na mishemishe mchana kutwaTeh teh.. Msalimie shemej yangu jimena bhana
Tusubiri Manchester DerbyBox to Box Midfielder!!
Ndio maana yakeLakin mwisho wa siku we ndo unayetoa maamuz ya mwisho
Sawa!!Tusubiri Manchester Derby
Ndo tuongee
.........
Full vululu kama mbulu kwa mama lulu. Nambie kiongozi...



umenikumbusha mbali kidogo hiyo verse, machalii wa chuga wanaipenda sanaNa bazooka ukimaliza tu kuvuta unatupiakitambo sana mambo ya kuvuta fegi chooni.
Enzi ya doso! Sikuwahi kuona utamu wake nikaacha!!Kumbe unavuta
![]()
![]()
![]()
......
Wasi wasi wako ni nini bitozTusubiri Manchester Derby
Ndo tuongee
.........
Sana bablai.umenikumbusha mbali kidogo hiyo verse, machalii wa chuga wanaipenda sana
hahaha...unasahau kuwa unaacha harufu chooniNa bazooka ukimaliza tu kuvuta unatupia
Wakati wa changamoto za ujanaKumbe unavuta
![]()
![]()
![]()
......
Hiyo haujali kabisahahaha...unasahau kuwa unaacha harufu chooni
Sijawahi vuta japo Uswaz washikaji zangu 70% wameishia kuwa matejaWakati wa changamoto za ujana
Mie pombe sinywi, sigara sivuti mkuu!!Sijawahi vuta japo Uswaz washikaji zangu 70% wameishia kuwa mateja
Mi pombe nakunywa
..........