makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,435
- 108,454
Kweli mkuuKama atanielewa, dunia hii tunategemeana sana, kila ulichonacho wew ni fursa kwa mwenzio. Kutegemeana huko ndiko nafasi yetu ya kuuza tulicho nacho na hivyo kutengeneza pesa
Kweli mkuuKama atanielewa, dunia hii tunategemeana sana, kila ulichonacho wew ni fursa kwa mwenzio. Kutegemeana huko ndiko nafasi yetu ya kuuza tulicho nacho na hivyo kutengeneza pesa
Ngoja briz akupe na zetu uposthttps://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17537082
Ingia hapo uwahi siti
.................................
Naanza kuwa na waswas na wewe
Jambo zur zaidNajipanga kwanza huwa sikurupuki kuanzisha kitu ht KF nilitafiti na kuileta ktk muda muafaka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
............
Kumbe wajua nakuchafulia eee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]Hata wewe, nilikumc chafu yangu
Unakula cha arusha eeeView attachment 396255[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Dah.. Pole.Mi ninachoanzisha sisemi kwanza kuna "matapeli wa idea" nishawahi kuibiwa project na watu niliowaamini halafu now inabamba
.................
YNaanza kuwa na waswas na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilipoona linahusisha hesabu tu wala sijahangaika nalo
Yah.. Ni kweli.Mfano jamaa kasema hapa ataanzisha "kuhusu" sasa mtu anaiba wazo zen anaenda kuanzisha fasta
..........
[emoji85] [emoji60] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Uko sahihi, kuna watu wanasaka aidia nzuri na hii inalipa sana coz ndoa nyingi ziko taabani watu wanasaka suluhu, wakisiKia kuna mtu wa aina hii wanamiminika tu
That's trueSiasa ni sumu sana.. Hasa kwa wengine kama sisi tusiopenda masiasa ndio kabsa unakimbiza mtu... Pia kwenye pande mbili lazima uegemee upande mmoja ndio hapo sasa wale wa upande wa pili unawachukia..
Dah.. Shukrani mkuu, dk 0 tu ntakuwa hapo...Karibuni Launch View attachment 396254
Chiz maarifa weeKumbe wajua nakuchafulia eee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
Mtihani kamaliza?? [emoji115]
NiajezMy sissy
ShiiiiiiiSi useme unavaa kaniki km kibibi fulani kichawi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Sasa hutakiwi kuwaamvia kwa undaniUko sahihi, kuna watu wanasaka aidia nzuri na hii inalipa sana coz ndoa nyingi ziko taabani watu wanasaka suluhu, wakisiKia kuna mtu wa aina hii wanamiminika tu