Makapuku Forum

Safi.. Ushaur mzur..
 
Hayo ni makosa makubwa mnoo kwenye ndoa nyingi..

Nataka kuanzisha kituo cha ushaur wa ndoa ni vipi watu wanaweza kuishi ndani ya ndoa na mambo mengine mengi kuhusu ndoa.
Mi ninachoanzisha sisemi kwanza kuna "matapeli wa idea" nishawahi kuibiwa project na watu niliowaamini halafu now inabamba
.................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…